KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amefafanua kauli yake, kwa kutaja sababu kadhaa ambazo zitasababisha nchi isitawalike kama alivyowahi kuonya...
Kuna methali isemayo: Mchimba kisima huingia mwenyewe. Maana yake mtu anayemchimbia mwenziye shimo kwa dhamira mbaya huishia kuingia mwenyewe.
Methali hii hutumiwa kumshauri mtu anayekusudia...
wana Jamii, habarini za asubuhi,
Ninamuda nimekuwa najiuliza, hivi matumizi makuu ya Fedha tunazokopa nje ya nchi ni yapi? Majibu niliyokuja kuyapata baada ya uchunguzi ni haya:
1. Ujenzi wa...
Duu kumbe huyu jamaa wakati mwingine aliweka kando itikadi za kisiasa huwa anaongea point.
Kasema - Mawaziri WABUNGE wakitembelea vijiji wapewe maji wanavyokunywa wanakijiji ili wajue shida ya...
Machozi lazima yakutoke kama una mtoto unayempenda. Uchungu lazima ukujae kama unaipenda nchi yako. Lazima usikitike kama unajali uhai wa amani ya kweli na ustawi wa Tanzania.
Matukio ya kurusha...
Nimependa hii ya Rais kupendekeza majina ya Mawaziri then kufanyiwa uchunguzi na Bunge, wasiofaa kutupwa, hii inazuia Rais kuwaweka shangazi zake na wapenzi wake,.... Je tutafika huko?
Taarifa zilizonifikia muda huu ni kwamba nyumba ya mbunge wa Arusha mjini imezingirwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni polisi/usalama wa taifa.
Wanamlazimisha Lema kufungua mlango ili waingie.
Lema...
Maadili ya muumgano
yafuatwe, ambayo ni:-
1. Viongozi kujali maslahi ya
umma (watu wote) kuliko
biashara zao binafsi wakiwa
madarakani.
2. Kwamba rushwa ni adui wa
haki, na watu wote waseme...
SERIKALI NA NGUVU YA VYOMBO VYA DOLA-POLISI,JESHI, USALAMA WA TAIFA NI KUWAPA SUGU WANANCHI.
Serikali yoyote inayotumia vyombo vya dola kunyamazisha watu kwa nguvu mwisho wa serikali hizo huishia...
Katika kuelekea kutafuta suluhu ya changamoto mbalimbali za kijamii na hasa ya UDINI, JK amekutana na viongozi wa dini ya kikristo leo kutafuta chanzo na suluhu ya changamoto ya UDINI iliyoanza...
Leo katika kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma, mmoja wa wabunge waliokuwa wakichangia na kuijadili hotuba ya waziri wa maji amesema kijiji kilichooneshwa kwenye ripoti ya waziri husika...
Kutokana na kucheleweshwa pamoja na kushushwa kwa bei ya korosho kuliko sababisha vurugu Liwale, mwandishi wa BBC anatujuza kuwa sababu kubwa ni seriakali ya CCM kupoteza mwelekeo...
Katika kipindi cha tuongee siasa leo Asubuhi Star TV Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche amesema tatizo vijana wa CCM wamelelewa kipropaganda
Mimi binafsi nakubaliana na John Heche, ni kweli hata...
CURRICULUM VITAE
DR. AUGUSTINE PHILIP MAHIGA
PERSONAL DATA
Name: Augustine Philip Mahiga
Date of Birth: 28 August 1945
Nationality: Tanzanian
Marital Status: Married...
Habari wana JF!
Wahitimu wengi wa vyuo vikuu, vyuo vya kawaida, wahitimu wengi wa secondari, n.k wengi wao ni wakazi wa Dsm.Kwa ujumla Dar es salaam ni jiji lenye wasomi na wataalamu wa nyanja...
Dar es Salaam (Tanzania) - The shocking killing of a senior journalist last week has underscored the rising level of violence invested in the political process in Tanzania, with the public up in...
Mbunge wa Bariadi Magharibi Bw. Andrew Chenge ameanza kuandamwa na tetesi nyingine za mambo ambayo endapo yatamnasa kweli basi itakuwa vigumu kwake hata kuendelea na Ubunge wake.
Vyanzo vya...
CHADEMA kata ya Usa River jimbo la Arumeru mashariki kwa mh Joshua Nassari inatarajia kufanya mkutano wa hadhara ambao ni mahususi kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu Msafiri Mbwambo ALIYEKUWA...
Tujadili swali hili dogo. Kabla sijaliweka ieleweke kuwa mimi ni mojawapo ya wanaoamini kuwj Dr Slaa alishinda uchaguzi mwaka 2010. Pia naamini kuwa kama atagombea 2015 atashinda. Tatizo ni kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.