Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbeya. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amemtahadharisha Rais Jakaya Kikwete asiitumie ziara yake ya Mkoa wa Mbeya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Wanajamvi nilikuwa Dodoma nilikutana na Mh. Catherine Magige. 2015 ana ndoto ya kuwa Vice-President. Je nani anajua elimu yake CV yake na hata utendaji kazi wake. ======= Hon. Catherine...
0 Reactions
50 Replies
46K Views
Wakuu salam, Ninafikiria kugombea ubunge 2015 kwa nia ya kuwakilisha vyema zaidi jimbo langu na kuutumikia umma wa TZ. Nina nia. Miaka nenda rudi jimbo hili limekuwa likitoa wabunge wasioongea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wanaofuatilia Mijadala ya Bunge watakubaliana na mimi kwamba tangu Wabunge wapenda vurugu waliposimamishwa kushiriki Vikao vya Bunge,hali ya utulivu imerejea Bungeni.Hivi ndivyo Bunge letu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
KAULI YA WASIRA: Kauli ya wasira juu ya kufanyawiwa unyama ndugu kibanda, mzee ambaye tunajua inaijua vizuri diplomasia ati anakejeli kwa kusema "kibanda ni nani katika nchi hii". Mimi kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Mheshimiwa Naibu Spika, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilizaliwa kwa Hati ya Muungano kati ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ya terehe 26 Aprili, 1964. Articles of the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi majuzi tulishuhudia bunge likitaarifiwa kuwa sasa ikulu itafuatilia utekelezaji wa mipango ya maendeleo iliyoainishwa katika bajeti kwa kutumia tume maalumu. Tuliambiwa kuwa mpango huo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kishindo cha mikutano ya Wabunge sita wa CHADEMA waliosimamishwa na Naibu Spika,Job Ndugai, kwa uamuzi uliungwa mkono na Spika Anne Semamba Makinda,kuhudhuria vikao vya Bunge la Bajeti kwa siku...
12 Reactions
49 Replies
6K Views
Leo sina mengi nawakumbusha ya kwamba ubora wa Taifa lolote lile hutegemea sana na ubora wa mawazo ya watu wanaounda Taifa hilo pamoja na nidhamu ya watu wao. Kwa kuwa mtu ni mawazo anayofikiri na...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Nilianza kujua maana ya kiti cha Spika kwenye bunge la tisa. Kiti hicho kilijengwa na kuheshimika. Aliyekikalia akasema nitaendesha bunge hili kwa kauli mbiu kasi na viwango, kwa kimombo 'speed'...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Safari hii yaani 2015 hatutaki kusikia kuwa kuna jimbo mbunge amepita bila kupingwa. Tunataka kusikia kwamba hadi kufikia January 2014 nafasi za Ubunge ndani ya CHADEMA ziwe ni kugombania, kuliko...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kasi ya kukipaka matope na kukisinginzia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Inashika moto pale ambapo chama hiki kimeonyesha dhahiri kiko tayari kukamata dola wakati wowote. Ukuaji wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu nawakilisha hili kwenu, nimekuwa nikijiuliza kwanini upinzani unakuwa na nguvu kubwa sana mikoani badala ya Jijini Dar es Salaam, kama ilivyo mapinduzi ya nchi nyingi...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Katika hali ya kuhakikisha majimbo muhimu ya Bariadi Mashariki na Magharibi katika mkoa mpya wa Simiyu yanachukuliwa na CCM, Mh. Chenge ameshakubaliana na Mfanyabiashara maharufu wa hapa Bariadi...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Edson Kamukara JESHI la Polisi limesema kuwa hadi sasa linaendelea na uchunguzi wa kuwasaka watekaji na watesaji wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Nipo katika mitaa ya mji kasoro bahari kama kawaida naona jezi za CCM zimetapakaa maeneo mengi ya mji huku maroli na mabasi ya abiria yakisombawanachama toka pande zote za mkoa ili kuhudhuria...
1 Reactions
576 Replies
42K Views
Wabunge wa viti maalum wanaishinikiza serikali na wao wapatiwe fedha za mfuko wa majimbo kama wabunge waliochaguliwa na wananchi kwa sanduku la kura, Tanzania where are we heading now?..really..?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Akiahiirisha kikao cha bunge amesema unge lina utulivu na angependa adhabu iongezeke ili bunge liwe na amani
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndg. Mkuu wa Mkoa, Watu wanapigwa na kuonewa sana Daraja Mbili, na huku wakijigamba kuwa wewe na Mkuu wa Wilaya umewahakikishia usalama wao hawa wahuni, jambo ambalo nisingependa kuamini mapema...
31 Reactions
197 Replies
15K Views
Ni ukweli mtupu kua kama uchaguzi ungefanyika leo 60% ya wananchi wa Tanzania wasingepiga kura kwa sababu asilimia hiyo ni watoto walio chini ya umri wa miaka 18. je hii sheria eti hadi mtu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom