hyle master
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 23
Wapendwa wanajamii,
Katika hali hii ya sasa katika serikali za mataifa mbalimbali viongozi wetu wamekua wakienda kinyume na misingi na kanuni ya sera za kidemokrasia. Nakumbuka nilipo kua kidato cha pili mwalimu wangu wa Civics alinambia Democrcy is the government of people by the people for the people nadhani wengi wenu mwalijua hilo.
Lakini kwa hali hii ya sasa sidhani democrcy unaweza ukaielezea hivyo kwa sasa Democracy unaweza sema is the government of politician for the interest of their political parties. Sijui wanajamii mnalionaje hili.