Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka, ameungana na wananchi wanaotaka Katiba Mpya iweke kipengele ambacho kitapiga marufuku wabunge kuwa...
Kitendo cha wWana-CCM kuanzia rais hadi mjumbe wa shina kufanya CHADEMA ndio ajenda yao ya kukiimarisha chama chao na kukifanywa kipendwe ni karata nzuri sana kwa chadema.
CHADEMA sasa watoke...
Ni muda sasa tunashuhudia viongozi wa CHADEMA wakitumia maneno yasiyo na staha, ni wiki moja tu tangu haya yaonekane bungeni, na ni siku moja tu baada M/kiti wake kutoa maneno ya kupongeza vurugu...
Ndugu WanaJF,
Kwa niaba ya uongozi wa JamiiForums, napenda kutumia fursa hii kumkaribisha rasmi Mh. Mama Prof. Anna Tibaijuka hapa jamvini.
Tuna imani wasomaji na watumiaji wa JF wanamfahamu...
Mwandishi Wetu Toleo la 29 24 Apr 2013
Mkapa naye afaidika na sheria aliyosaini
Kila mmoja azoa milioni 900 kwa mwaka
SHERIA ya mafao ya viongozi wa umma ya mwaka 1999, iliyosainiwa na...
Ndugu wanajamvi,
Wabunge wetu wa CHADEMA wametolewa nje kwa muda wa siku tano wakitajwa kama vinara wa vurugu pale bungeni, baada ya hapo wamefanya kazi nzuri ya kutupa ufafanuzi wa kwa nini...
Nchi yetu ni nchi ya ajabu sana kutokana na ukikwaji wa makusudi wa sheria juu ya wanasiasa kuitisha mikutano ya ndani ya wanasiasa na watendaji wa serikali .Aliwahi kusema Mnyika na kuhoji kama...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, imetoa wiki moja kwa Serikali iwe imelipa Sh50 bilioni kati ya Sh716 bilioni inazodaiwa na Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Serikali (PSPF) na ieleze...
Wakiwa wanashangiliwa na viongozi wa CCM na wabunge Khatibu ambaye ni Mwenyekiti wa bunge la Tanzania amesema wabunge wa viti maalumu ni zao ulaji wa viongozi.
Tukiangalia safu ya wabunge wa viti...
Nimebahatika kuona mabango katika mji wa Dodoma yakiwaalika wananchi kuhudhulia matika mdahalo wa miaka 49 ya Muungano. Mdahalo huo umeandaliwa na wanataaluma wa Chuo kikuu cha Dodoma na...
Lukuvi amemtetea Waziri Mkuu kwa kuwasikiliza wabunge bungeni, lakini aliposimama Ndugai akapinga na kusema hilo haliruhusiwi unless iwe ni suala ambalo haliwezi kusubiri.
Nyerere aliwahi kutamka kwamba kuna watu wakati wa kupigania uhuru tulikuwa hatuwaoni ghafla tulipkaribia uhuru wakafurika kwenye TANU na baada ya uhuru wakawa wengi zaidi.
Hiki sasa inaelekea...
Tanzania's Maasai battle Arab game hunters for grazing land
By JASON PATINKIN in Loliondo, Tanzania | Wednesday, April 24 2013 at 10:51
Maasai women have been most vocal in their protest...
Malawian President Joyce Banda has said her government will take the Lake Malawi border dispute with Tanzania to International Court of Justice (ICJ), saying the mediation by former presidents of...
Kuna Taarifa kuwa Wachina waliokuwa wanajenga barabara ktk wilaya ya Chunya inayotoka Mbeya wameacha kufanya shughuli hiyo na kuhamishia grader zao kwenye uchimbaji wa Madini baada ya kugundua...
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ambayo miongoni mwa majukumu yake ni pamoja na kuhakikisha kwamba vyombo vya mawasiliano ikiwemo simu za mkononi vinatumika vizuri;imeonekana kutoweza...
Mwandishi Wetu Toleo la 291 24 Apr 2013
ASILIMIA kubwa ya walimu katika shule za sekondari nchini hawaridhishwi na aina ya mitaala wanayoitumia kufundishia, na lakini pia...
TAARIFA KWA UMMA
Jumla ya wananchi 6250 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwanza tarehe 21 Aprili 2013 ya kutaka Bunge lichukue hatua za haraka za kuisimamia Serikali kuwezesha wananchi...
Kwa njia ileile iliyotumika mwaka 2009 yaani Kanisa Katoliki kupendekeza waumini wake jinsi ya kushiriki uchaguzi wa mwaka uliokua unafuatia yaani 2010, sasa wakati tukiwa katikati ya mchakato wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.