Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika chuo cha uhasibu Arusha, mwanafunzi mmoja amechomwa kisu hadi kufa na mtu asiyefahamika katika mazingira yakutatanisha, hili ni tukio la pili baada ya mwanafunzi wingi kuchomwa kisu katika mazingira kama hayo,
Wanafunzi baada ya kuona hakuna jitihada zinazofanywa na serikali ikiwa ni pamoja na uongozu wa shule paomoja na ofisi ya mkuu wa mkoa, wameamua kugoma ili kujua hatima ya haya matukio kwani mali zao zinaibiwa na bado hakuna kinachoendelea ili kubaini watu hao,
Katika hatua nyingine, mkuu wa chuo amemtuhumu mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless lema kwa kile alichokiita kuchochoa mgomo akimuuliza inakuaje anakuja chuo bila taarifa yoyote, Katika majibizano yao Godbless alichosema, ni lazima aje kuna kinachoendelea kwani yeye ni mbunge,haitaji kuomba ruhusa kwa mazingira kama haya.
my takke, Tusipende kuongea mambo tusiyokuwa na uhakika nao. sikatai juu ya kuchochea mgomo laikin hii ni hatari kwani iwapo mnashindwa kutatua matitazo makubwa kama haya ni mwisho mnaasingizia nyama sidhani kama ni sawa, tujiulize, je walchokuwa wanafunzi wanadai ni haki au sio haki, hatima ya maisha yao ni nini?