Draft ya Katiba mpya kuanza kuchapishwa leo

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Kwa ratiba ya Tume ya Katiba mpya inayoongozwa na Justice Joseph Warioba, leo ndiyo siku ya kwanza kuanza ku-print draft ya Katiba mpya.

{SOURCE: RAIA MWEMA: February 06, 2013, pg. 2}
 
Kwa ratiba ya Tume ya Katiba mpya inayoongozwa na Justice Joseph Warioba, leo ndiyo siku ya kwanza kuanza ku-print draft ya Katiba mpya.

{SOURCE: RAIA MWEMA: February 06, 2013, pg. 2}

Itakuwa vizuri, tuione hiyo rasimu!
 
Naisubiri kwa hamu sana, hasa nataka nione inawezaje kutatua matatizo yanayoendelea hivi sasa hapa nchini kama, siasa, uchumi, elimu, afya na udini.
 
Back
Top Bottom