Wana JF habari za usiku,
Imekuwa ni desturi ya CCM toka mwaka 2005 kuiba kura, mwaka 2010 ndo kabisa na watanzania tukaombwa kuwa watulivu na viongozi wetu wenye wervu wa CHADEMA na kuahidi kuwa sasa watafanya kampeni za ziada kwa miaka yote mitano na kukiimarisha zaidi chama, na ndivyo ninavyoona hadi sasa na kweli nawapongeza kwa hilo kwani sasa hadi waoto majumbani wanasikia na kufahamu sera za CHADEMA.
Nina swali dogo:
Kwa kuwa CCM wameshagundua kuwa hawapendwi, na pia kwakuwa CCM wanajua wazi kuwa watanzania siku hizi tumefunguka na tunazidi kufunguka zaidi, na kwakuwa CCM wanafahamu kabisa kuwa tunafahamu wizi waliofanya 2010, na kwa kuwa wanajua kuwa hadi sasa hawana mtu wa kumsimamisha kwani kila anayedhaniwa ndiye anamaovu makubwa ndani yake na kila siku yanawekwa wazi, na kwa kuwa CCM wanajiona kuwa ni watawala wa milele, na kwa kuwa CCM sasa wanapambana sana kuharibu mchakato wa katiba ili wapate upenyo, na kwa kuwa Muda bao tunao wa kuendelea kuiharibu CCM hadi mwaka 2015...
Je viongozi wetu wa CHADEMA mnataka tujiandaeje katika uchaguzi 2015? na ikitokea wakaiba kura nini kifanyike kama sheria hazitakuwa wazi juu ya kupinga maamuzi ya matokeo ya urais? Na kama rais bado atakuwa na nguvu ya kuteuwa viongozi wa Tume ya Uchaguzi?
Nawakilisha?