Wananchi wengi TV imekuwani chombo chao pendwa cha kupashana habari hasamatukio mbalimbali na kwa kuwa ni picha na sauti basi huaminika zaidi kwani humpa mtazamaji uhalisia wa tukio
Fahamu wa...
Nimeshtushwa sana na Kauli za Mbunge wangu niiliemchagia Kwa kura yangu akiwajibu wananchi wake wanaolalamikia ahadi alizotoa kuusu MAJI ya umwagiliaji alizowaahidi wananchi wake wa KAHE wakati...
Washauri wote nguli na wa idara mbali mbali za kichama tunahitajika Lumumba Dar es Salaam 'kubuni' mbinu mpya za kupambana na changamoto za vyama vya upinzani, wanaharakati na wananchi kwa ujumla...
Kuna tetesi kwamba uende baadhi ya viongozi ndani ya chama tawala na serikali wakazuiliwa kuingia marekani kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zinazoendelea. Hizi ni habari kutoka...
Ofisi ya CHADEMA kata ya Ruaha wilaya ya Kilosa imevamiwa na kuharibiwa vitu katika ofisi hiyo na baadhi ya vitu inasemekana havijapatikana hadi sasa, pia inasemekana kuwa jeshi la polisi ndio...
Mamlaka zote msingi wake ni imani, tunawajibika katika kuyatekeleza yaliyo kwenye mamlaka zetu, na kwamba, mamlaka yatatokana na watu, kwa ajili ya watu, na chemchem zote za fikra ziachwe hai-...
nime-copy na ku- pest kutoka Facebook kwenye Group moja linaloitwa Simanjiro Group, post hii imewekwa hapo na mtu mmoja anaitwa Frank Oleleshwa
MUHIMU SANA.................
Aggy Porokwa ALIWEKA...
*Adai ni vibaraka wa mabeberu kuvuruga nchi
*Awafananisha na nguruwe mwenye tabia la kula watoto akiwa na njaa.
*Ataka watanzania kuwapuuza
*Amuumbua Tundu Lissu
*Atetea mchakato wa katiba nchini...
Hoja ya haja: Mtwara Natural Gas Saga Is not a Curse, But Rather an African Awakening!
The emerging problem in Mtwara, should not be confused with the African natural resource curse, but rather...
TUINUSURU ELIMU YA TANZANIA
hali ya elimu ya tanzania ipo katika hali mbaya sana inayohitaji hatua za dharula.
KWA
1.WABUNGE WOTE
2.WAZIRI WA ELIMU SHUKURU KAWAMBWA(MB)
3.TUME YA WAZIRI...
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
Huyu bwana Charles Kitima amelichana Bunge kuhusu serikali kuingilia upangaji upya Alama za kidato cha 4.
Anasema mijitu tunailipa pesa zetu nyingi inakwenda kupiga madawati
Ameua bendi
ikiwa takribani mwezi umebaki kabla ya chaguzi ndogo za madiwani kufanyika mpaka sasa serikali haijatoa fedha kwa ajili hiyo.Inasemekana serikali bado inahofu wapinzani watatwaa kata nyingi hivyo...
Kwanza kabisa nitoe tafsiri ya maneno niliotumia nimetumia waasherati wa vyama nikiwa na maana ya wanachama wanaotoka chama kimoja kwenda kingine kwa maslahi yao na uko wanapoenda wanataka...
Ujinga ni hali mbaya sana ya kiakili; lakini pia ni hali njema sana ya akili ya mwanadamu. Ujinga - ni hali ya kutokujua kitu ambacho mtu aweza akajulishwa, akakipokea na ule ujinga kumtoka...
Inaripotiwa kuwa jumla ya watu 12 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa kutuhumiwa kuhusika na mlipuko wa bomu lililorushwa katika eneo la Kanisa la Mt Joseph Mfanyakazi katika...
Mei 10, 2013 | Mtanzania
JESHI la Polisi mkoani Morogoro limeingia kwenye kashfa nzito baada ya askari wake watatu na raia wanne kukamatwa wakiwa na kichwa cha binadamu. Tukio hilo lilitokea Mei...
Hadi dakika hii anaendelea kutoa mchango wake kuhusu Bajeti ya mambo ya ndani akieleza kwamba {usiseme kuwa jeshi la Polisi limeoza bali ni polisi wachache tu wasio waadilifu}.
Akaongeza pia...
Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kibaha Vijijini kimeandaa Mkutano mkubwa wa hadhara Utakaofanyika Jumamosi Tarehe 11/05/2013 Mlandizi katika viwanja vya Stand ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.