Alipotekwa na kuteswa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania Bwana Absalom Kibanda jeshi la polisi kupitia kwa kongozi wake IGP Saidi Mwema lilitangaza kwamba mtu yeyote atakayetoa taarifa...
Tanzania badala ya kutatua tatizo tumekuwa watu wanafiki na tatizo la ugaidi halitaondoka mpaka tuwe wawazi. Tatizo la ugaidi sio Tanzania tu bali Parkistan, Egypt, Nigeria, na nchi nyingi za...
How to have fun and become filthy rich on your way to achieving failed state status
By Jenerali Ulimwengu
THE EAST AFRICAN
10-step guide to becoming a failing state, on the way to full...
Habari wakuu. Ninasema tukiweza kuwaondoa ccm madarakani na tukampata kiongozi makini Tz tutakuwa matajiri. Utajiri uliopo Tz kwa mtu anayejua huwezi amini mpaka leo hii kuna watz maskini wa...
Wana JF, nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana mijadala mingi na mirefu iliojaribu kuonyesha ni vipi nchi yetu ina angukia kusiko tufaa ki amani na usalama.wengi mmeongea mengi na kati ya yote...
Makamanda wa CHADEMA Geita wapo kwenye kata ya Kalangalala wakipiga kaziya kutoa elimu ya Uraia.
Wanasema CCM kwa njia za kistaarabu hawataki kutoka,wametumia vibaya rasilimali za hii nchi hivyo...
Kipindi ulichokuja kwenye sikukuu ya wafanyakazi mbeya uliahidi kupunguza kodi kwa wafanyakazi. Ombi langu kwako ni kuangalia pia jinsi watendaji wanavyotumia migambo kuja kutukamata wafanyakazi...
Mawakili wa CHADEMA kwa siku za hivi karibuni wanaonekana kuwa mwiba zaidi ukiringanisha na mawakili wa serikali,nataka kujua kwa nini imekuwa hivo?kwani sifa ya kusoma degree ya sheria si...
Ndugu wana JF. Raisi wetu kipenzi mheshiwa daktari JM Kikwete ametimiza safari nilizozitaja kwa idadi yake hapo juu. Ni jambo la kujivunia kuwa na historia ya raisi anayeijua dunia na miji yake...
Chama cha wananchi Cuf kilianzisha program iliyoitwa mchaka mchaka kuelekea ikulu na ikazinduliwa kwa mbwembwe kubwa dar baadae Ikafanyika Arusha mara kimya. Au bado mnajipanga? Kwa hali hiyo ccm...
Naomba nipatiwe majibu kutoka kwa Mawakili wa CDM na Viongozi juu ya kilichotokea katika Hukumu iliyomrudishia Ubunge Kafumu.Kwanza kabisa inatakiwa ieleweke wananchi wengi wa Igunga wenye mapenzi...
1. Tunaamini kiongozi wa dini ni mtu mwenye maadili na mwelekeo mzuri - anaweza kukushauri kitu ukakifuata na kufanikiwa. Tunaamini ni washauri wetu wa kiroho.
2. Lakini kwa jinsi hali...
WanaJF kuna baadhi ya tafiti duniani zimeonyesha kuwa wanasiasa wengi duniani hasa ktk nchi maskini zaidi wapatapo madaraka hugeuka kuwa wehu na walevi kwa tabia huku wakiwaacha...
FRIDAY, MAY 10, 2013
Chama Cha Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) kimeendesha mafunzo kwa wanachama wake 81 ambao wanatoka katika Majimbo 27 ya Uchaguzi katika Kanda ya Nyanda za Juu kusini Mafunzo...
WanaJF kuna baadhi ya tafiti duniani zimeonyesha kuwa wanasiasa wengi duniani hasa ktk nchi maskini zaidi wapatapo madaraka hugeuka kuwa wehu na walevi kwa tabia huku wakiwaacha...
May 09, 2013 | HabariLeo
KAMBI rasmi ya upinzani imeibua upya hoja ya tiba ya asili maarufu kama Kikombe cha Babu wa Loliondo, ikihoji kwamba Serikali haijatoa kauli wala kuchukua hatua dhidi ya...
Serikali ya CCM kwa kutumia Jeshi la polisi huzuia maandamano kwasababu wanazodai ni za kiusalama lakini ukweli ni kwamba wanafanya hivyo kwasababu za kisiasa na hasa kuhujumu harakati za...
Poachers continue to kill elephants and strip them of their ivory tusks to sell on global markets, despite a ban on ivory poaching that was instituted in Africa in 1989. According to the Wildlife...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.