Mimi ni muadilifu, sina Scandal - Beatrice Shelukindo

Mimi ni muadilifu, sina Scandal - Beatrice Shelukindo

Status
Not open for further replies.

SubiriJibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
1,805
Reaction score
1,890
Hadi dakika hii anaendelea kutoa mchango wake kuhusu Bajeti ya mambo ya ndani akieleza kwamba {usiseme kuwa jeshi la Polisi limeoza bali ni polisi wachache tu wasio waadilifu}.

Akaongeza pia kusema: {...ni kama mtu anaposema CCM imeoza kwa kudhani kwamba CCM haina waadilifu, CCM ina waadilifu wengi na mmojawapo ni mimi, sina scandal yoyote....}
 
Wanaomjua vizuri watusaidie kudhibitisha.
 
Huyu mama anatokwa na povu jingi bure,nadhani ndani ya ccm hakuna alie msafi! Vinginevyo anajipendekeza kwa mzee lowasa ampe uwaziri 2015 kama atafanikiwa kuupata...
 
Hawa wabunge wa ccm vilaza kweli,yupo mama mmoja anaongea anaitwa Ana Abdala anasema serikali ilete bungeni sheria ya kudhibiti maandamano ya vyama vya upinzani maana ni fujo.shame on her!
 
Hawa wabunge wa ccm vilaza kweli,yupo mama mmoja anaongea anaitwa Ana Abdala anasema serikali ilete bungeni sheria ya kudhibiti maandamano ya vyama vya upinzani maana ni fujo.shame on her!

simpendi huyu mama, yeye akisimaga kuongea anaongeaga pumba tu, badala awawakilishe wananchi waliomchagua yeye anakalia upambana kuijibia serikali hoja za wapinzani! sijui nae ni waziri kivuri!
 
Da! Kwa hiyo huko serikalini usipokuwa na scandal wewe ni bonge ya mchapa kazi? Masikini serikali!!
 
Mwambie atueleze na kile kilichomfanya atoke kwao kwenda Monduli kufuata mishikaki na ubwabwa wa mwaka mpya !
 
Ila Mh Pindi Chana alitoka povu sana bila kujadili mambo ya polisi,uhamiaji au madawa ya kulevya.
 
Huyu mama nimewahi kuambiwa na watu wake wa karibu kuwa ni mchafu sana.
Ana scandal nyingi sana za chinichini kuanzia za kisiasa mpaka kwenye ndoa.

Huwa anatabia ya kutumia 'ulokole' kufunikafunika uchafu wake. Mumewe Mzee Shelukindo, Shoga yake Pindi Chana na Samweli Sita wanamjua vizuri sana huyu mama namna alivyo mnafiki na hatari.
Huyu mama ni kama Delila vile.

Mpaka sasa bado 'anajipendekeza' sana kwa Kikwete ili apate uwaziri ambao ameuota toka 2008 lakini bado haujapata.
Nafikiri Kikwete bado hajam... ndio maana mambo yake yanachelewa.
 
simpendi huyu mama, yeye akisimaga kuongea anaongeaga pumba tu, badala awawakilishe wananchi waliomchagua yeye anakalia upambana kuijibia serikali hoja za wapinzani! sijui nae ni waziri kivuri!
Miss Mtwara aka Anna Abdallah
 
Hadi dakika hii anaendelea kutoa mchango wake kuhusu Bajeti ya mambo ya ndani akieleza kwamba {usiseme kuwa jeshi la Polisi limeoza bali ni polisi wachache tu wasio waadilifu}. Akaongeza pia kusema: {...ni kama mtu anaposema CCM imeoza kwa kudhani kwamba CCM haina waadilifu, CCM ina waadilifu wengi na mmojawapo ni mimi, sina scandal yoyote....}

BEATRICE JIBU YAFUATAYO:

1.unakumbuka ulipokwenda kuonana na Nabii Mwingira hotel Tanga Mjini na ukatoka alfajiri huku dereva anakushuhudia???

2.Ni kwa nini uliacha kwenda Efatha ???
 
Anajpendekeza ilg fastjet amuone kifaa....
 
Huyu mama nimewahi kuambiwa na watu wake wa karibu kuwa ni mchafu sana. Ana scandal nyingi sana za chinichini kuanzia za kisiasa mpaka kwenye ndoa. Huwa anatabia ya kutumia 'ulokole' kufunikafunika uchafu wake. Mumewe Mzee Shelukindo, Shoga yake Pindi Chana na Samweli Sita wanamjua vizuri sana huyu mama namna alivyo mnafiki na hatari. Huyu mama ni kama Delila vile. Mpaka sasa bado 'anajipendekeza' sana kwa Kikwete ili apate uwaziri ambao ameuota toka 2008 lakini bado haujapata. Nafikiri Kikwete bado hajam... ndio maana mambo yake yanachelewa.

Nabii Mwingira ka Kung'uta Pindi Chana kwenye hotel y a mtoto wa Mungai Iringa na kule Bahari Baech. Baada ya Hapa Beatrice kakung'utwa pale Tanga huku dereva wa Nabii anashuhudia Wabunge hawa hovyo na hawana hofu wanajifanya walokole na kupenda sana deliverence ambayo ni mtaji wa Mwingira
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom