Mh. Lowassa, uzee au afya kuzorota?

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
559
Namwangalia mh lowasa hapa,,akiwa London na kamati yake ya Ulinzi alipokutana na mh Jk namwona kadhoofu sana,,ni ile ya afya au uzee nao?
 

Attachments

  • c3[1].jpg
    c3[1].jpg
    57.6 KB · Views: 1,658
  • c4[1].jpg
    c4[1].jpg
    56.1 KB · Views: 1,931
Huyu mzee apumzike tu, aachane na mipango ya kuelekea magogoni!! Sema kuna jambo mhimu lazima alitimize! nalo ni kuondoa udikteta wa rais wa kuwachagulia wanaCCM mgombea urais. Hiyo iachwe iwe huru.
 
Wote wawili ukionana nao live ngozi zao zinashangaza kuwa hao ndo waliokuwa 'wagombea vijana' 1995 na 2005 !!
 
Hiyo suti ya JK mbona kapendeza....kumbe akienda ULAYA anavaa zile sutiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii loh..
 
kamera haina mega pixeli za kutosha. watu wako vizuri kwani hujajua Lowasa ndo raisi wako wa 2015. CCM Oyee
 
Hawataki kukubali kuwa wamekua hawa!


Mh! JK bwana,


Unajua si heshima kwa mtu mzima tena raisi wa nchi kutembea mikona mfukoni!!!


Atakua lini huyu?????

AH!!





....
 
Hawezi nenepa anamawazo wapi atapeleka mali zake pindi swahiba wake akiondoka mjengoni.maana vyote vitarud kwa uma 2015
 
Mimi naona wote ni wazee sema mmoja anaweka rangi kwenye nywele zake kuficha uzee. Wote ukiangalia sura zao hawana tofauti sema mmoja anaonekana bado wamo ingawa kuanguka kwake mwaka 2010 ni dalili za mvua kama issue ni afya za wahusika.
 
..anadhoofika kwa kukosa matunzo wanayopata viongozi wakuu.

Mkuu mbona lowasa anapata hiyo huduma kama mawaziri wakuu wengine. Hata safari zake za kwenda nje kuchekiwa macho yake mara kwa mara zinagharamiwa na serikali
 
A fanatic is the person who can't change his mind and will not change the subject...kila siku Lowassa,Lowassa,HAMCHOKI?he's surely a hard nut to crack,MTAKOMA!
 
Back
Top Bottom