Ndugu zangu,
Shaaban Robert anaandika;
" Wasadikika wana desturi ya kutafuta fimbo baada ya kuumwa na Nyoka. Tumekwisha umwa na Nyoka kwa matendo yetu mabaya ya zamani.
Nyoka mwenyewe...
Ni vema katiba yetu mpya izingatie Mifumo ya Azimio la Arusha hasa Kipengele cha KUTAIFISHA MALI KUTOKA KWA WATU WASIOWAAMINIFU AMBAO WAMEJILIMBIKIZIA MALI NYINGI ISIVYO HALALI(illegaly Obtained...
YABUNI MIKAKATI KUJIIMARISHA
na Waandishi wetu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema watakipa pigo takatifu Chama cha Mapinduzi (CCM) katika...
Kamanda Kova ameapa kuwa watahakikisha kuwa kila siku wanaikagua njia za mawasiliano na Jamiiforums ili kusaka wanaoanzisha meseji za uchochezi . Nimeshangaa na kujiuliza kama ataweza kuwadaka...
Wabunge wa mikoa inayolima pamba mko wapi wakulima wanachezewa na waziri wa kilimo kwa kushirikiana na zungu fulani na wafanyabiashara wakubwa wa pamba hapa nchini kuwanyonya wakulima!!!fanya...
* 'Ballpark figure' for plant costs is $10 billion
* Investment decision not seen before at least early 2016
By Gwladys Fouche and Balazs Koranyi
OSLO, March 18 (Reuters) - Statoil and Britain's...
1. Wabunge walio wengi wa CCM, kabla ya kuchangia hoja mnaunga mkono hoja ya serikali kwa asilimia 100 (maana yake hiyo hoja inajitosheleza na haihitaji marekebisho yoyote).
2. Halafu wakati...
Tanzania is dancing with $4.57b of Chinese Aid
The government of China wishes to keep the details of the billions of dollars it pumps into Africa as a secret but this has only stalked curiosity...
Kwenye kutunza Amani yetu! Kila taasisi ifanye yanayostahili. Viongozi wa dini wakiazimia masuala fulani ni kazi ya serikali kuu! Au Halmashauri za majiji kuyahuisha maazimio hayo na kuyafanya...
Tumekuwa tukishuhudia Serikali ikishindwa ktk kesi nyingi ambazo zimefunguliwa na kusimamiwa na wanasheria wa serikali.Na mara kadhaa tumeona ata mashtaka yanayofunguliwa kutokuwa alisia na...
Katika hali ya kusikitisha na kushtusha Waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi ameliambia bunge jioni hii kwamba serikali ya CCM imeridhia kuleta mswada bungeni ili itungwe sheria ya kuzuia...
Kumekuwa na tabia ya kudhalilisha wanachama wa CHADEMA na makada wa CCM. hivi karibuni picha za uchi za msanii Afande Selle zimekuwa zikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kudai ni mgombea...
Kwa sababu ushahidi wa mahakama umeonyesha kuwa Lwakatare hakuwa na kosa la ughaidi. Kumbuka kwamba Mwiiigulu Ncheimba alitamka bungeni kwamba CHADEMA ni maghaidi na yuko radhi kutoa ushahidi wa...
Kwa Mujibu wa ITV, RPC wa Arusha Liberatus Sabasi amesema Jeshi La Polisi litaimarisha Ulinzi kwenye Mazishi.
Maziko hayo ni ya Wahanga wa Bomu Lililolipuka Kwenye Parokia ya Joseph Mfanyakazi...
Wakuu leo nimemsikia Mh James Mbatia akianika uozo wa Wizara na kuoneshwa kukerwa kwake na uamuzi wa kupanga upya matokeo kwa madai kuwa vigezo vilivyotumika vilikiwa havikulikani. Nilifurahi...
GENERAL
Salutation Honourable Member picture
First Name: Stephen
Middle Name: Hilary
Last Name: Ngonyani
Member Type: Constituency Member
Constituent: Korogwe Vijijini
Political Party: CCM...
Habari wanajamvini,
Pole sana ndugu zangu na heka heka za kuwafuatilia wabunge wetu ambao asilimia kubwa ni wachumia tumbo na si wakombozi kama tunavyo fikilia.
Leo nina suala ambalo...
Maandamano:
Mapendekezo ya serikali kutaka kuleta sheria ya kuzuia maandamano kutaligharimu taifa kama sio leo ni kesho au kama sio kesho ni keshokutwa. Maandamano ni namna ya watu kuelezea...
Serikali ya Uingereza imetoa kiasi cha paundi milioni 60 (TZS 148,341,000,000) za nchi hiyo kwa ajili ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa elimu unaotekelezwa na serikali ya Tanzania ujulikanao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.