Dr.Kitima huwa hamung'unyi maneno anasema
-Bunge limekuwa hovyo
-Mijitu iko pale kupiga makofi tu hata kama ni kwa jambo la hovyo
-Wabunge wanachangia kuididimiza Elimu nchini
-Anasema ni heri lifutwe na kuanza upya,hawajui wajibu wao
-Hakuna heshima bungeni,mijitu inafundisha watoto wetu matusi
-NECTA,waachiwe maamuzi ya mwisho,wasiingiliwe
Huyu bwana Charles Kitime amelichana Bunge kuhusu serikali kuingilia upangaji upya Alama za kidato cha 4.
Anasema mijitu tunailipa pesa zetu nyingi inakwenda kupiga madawati
Ameua bendi
Watanzania ndio wa kulaumiwa,kila siku wanayaona,kila siku wanapata matatizo lakini waapi wao ni Magamba,na Magamba wanafanya makusudi kuwanyima elimu ili muendeleee kuwa wajinga na muendelee kutawaliwa!Napata taabu kuielewa Tanzania ya 2020-2030 itakuwaje katika sekta ya elimu na hili rika la vijana wanaofanyiwa mipango ya kuendelea kwa masomo ya juu ilhali kitaaluma wamefeli.
Napata taabu kuielewa Tanzania ya 2020-2030 itakuwaje katika sekta ya elimu na hili rika la vijana wanaofanyiwa mipango ya kuendelea kwa masomo ya juu ilhali kitaaluma wamefeli.
I trust this head of SAUT, he is a man of values.
Hicho anachokisema Dr. Father Kitima ndio ukweli wenyewe. BUNGE LETU TANZANIA LINALOONGOZWA NA WABUNGE WA CCM NI LA OVYO KABISA. Refer ile Katuni iliyopostiwa hapa kutoka Kenya
Huyu ndiye msomi anayekitendea haki kisomo chake cha udaktari (wa sheria) kwani haogopi kuongea ukweli, najua serikali ina uwezo wa kufanya mabadiliko ya elimu kwa kushirikiana na wadau wa elimu lakini wameziba masikio kwa pamba, si ajabu akija Ritz hapa atapindisha hoja akidai Dr.Kitima wa SAUT ni "CHADEMA" kwa kuwa tu anakosoa.Siku hizi wataalamu wanapoikosoa serikali wanaitwa Wana CHADEMA kisha serikali inawapuuza. Bahati mbaya, bunge limegeuka mtetezi wa serikali badala ya kuwa msimamizi wa serikali lol
Kiukweli hata Mbatia Radio One Ameichana sana serekali kwa kudanganya umma kuwa hawakushirikishwa katika mfumo mpya wa upangaji wa alama wakati kila kitu kawambwa alishirikishwa na kwa mara ya kwanza akahusika kutangaza matokeo.