Kukiwa kuna kika dalili na tambo mbalimbali zinazoashiria chama cha Chadema kuingia ikulu ya magogoni mnamo 2015 ni vyema tukajadili mahusiano yaliyopo kati ya chadema na wawekezaji hasa wale wa...
Nimepigiwa simu leo na kamanda mmoja akisema kulikuwa na uzi hapa unahoji kama ni kweli nilikuwa mwenyekiti wa chadema wakati mimi mwenyewe sikuwa mwanachama. Ni kweli kabisa mimi sijawahi...
POLISI NA FUVU LA KICHWA CHA BINANDAMU: JE, SIYO FUVU HILI HILI LILITUMIKA PIA KATIKA TUKIO HILI LA 2009
Katikati ya wiki hii ambayo wizara la mambo ya ndani iliwakilisha bajeti yake na jeshi la...
Wadau,
Ninajua kuwa hili kila mtu ameshaliona, kuwa watuhumiwa waliokamatwa mpaka sasa kuhusiana na mlipuko wa Arusha wamefikia 10 lakini jina lililotajwa na linaloendelea kutajwa kwa nguvu ni...
Waswahili wanasema kwamba uwema wa mtu unanzia nyumbani kwake, halafu unasambaa nje ya nyumba yake, ofisi za chama cha cuf makao makuu zipo Buguruni karibu kabisa na shule ya msingi Buguruni...
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali...
Wananchi zaidi ya 1000 wametupa hadharani kadi za CCM huko Monduli baada ya kukerwa na mwenendo wa CCM wa kuchakachua matokeo hata ndani ya chama; baada ya CCM mkoa wa Arusha kumchakachua mgombea...
Mimi kwa sasa sielewi, hawa chadema wamejitoa au hawajajitoa? km hawajajitoa ni ugumu gani wanaoupata wa kutueleza wananchi ni nn haswa ni hatima yao juu ya huu mchakato? tumesikia jana warioba...
Akihutubia jana huko Tunduma ktk Mkutano uliokua umejaa Wananchi kumsikikiza Katibu Mkuu wa CDM Dk Wilbrod Peter Slaa alisema kuwa CCM na viongozi wake sasa wameshindwa Siasa za Majukwa na...
Jukwaa la katiba liko kwenye mchakato wa kuzuia mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya mahakamani.Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa watawakilishwa na jopo la mawakili kumi.Na kesi itafunguliwa mapema...
Leo hii huko mjini Sumbawanga Chama Cha Mapindunzi (CCM) kimeendelea kujiimarisha kwa kutimiza moja ya ahadi zake kwa kuwakopesha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa hili pikipiki mia moja (100)...
SAKATA LA NANI ANA HAKI YA KUCHINJA KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO LAIBUKA TENA KATORO GEITA.
Jana imetokea hali ya sintofahamu kati ya waislamu na Wakristo katika kijiji na kata ya Katoro...
Kwako mbunge wetu mheshimiwa pinda.
Pole kwa majukumu mengi ya kazi kama waziri mkuu na mtendaji mkuu wa serikali. Wana mlele tupo pamoja nawe na tunakusapoti kwa hilo.
Naomba kuchukua...
Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani la Taifa-NECTA ambaye pia ni Makamu Mkuuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amesema hayuko tayari kubadili matokeo ya Kidato cha Nne...
CHADEMA VS CCM
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta juzi aliinusuru Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi baada ya kujibu kwa hekima hoja ya Mbunge wa Singida...
Kwa kifupi niseme hivi, mimi pia ni shabiki na mwanachama wa cdm kwa muda mrefu sasa. Lakini sitaki kuwa mfuasi mbumbumbu wa chama changu.
Nafuatilia kwa makini kila wanachokifanya ili niweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.