Kwa muda mrefu serikali imekuwa ikjitetea kuwa yenyewe si legelege, hatimaye jana kupitia waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dr. Emmanuel Nchimbi, imekili kuwa imelegea vya kutosha.
Nilimshuhudia...
Lameck aligusa nyoyo za watu na hata kumshinda mpinzani wake mkubwa Prof. Monyo. Lameck alitoa kituko cha mwaka, kwa kusema kwamba, Darasa la saba mpo??? basi umati mkubwa ukaitika tupo... Basi...
Mchakato wa kutathmini na kulipa wamiliki wa viwanja vya Kigamboni(kuanzia baada ya Feri kwa upande hadi Kibada) umepamba moto. Kulingana na matangazo yaliyopo,kila mmiliki wa kiwanja...
WanaJF kuna issue moja inanikwanza sana ya hawa viongozi wetu (kutoka vyama vyote na serikali) kutaka kupata umaarufu kwenye hii issue ya udini.
Mitaani tumekuwa tukiishi vizuri kama dugu moja...
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA wilaya ya Serengeti tunayo furaha ya kumtangaza Bwana DANIELI JOHN NYAMORONGA kwamba ndiye aliyeshinda kura za maoni za ndani ya chama kuwania kiti cha...
Akichangia kwenye hotuba ya bajeti ya wizara ya mambo ya ndani Bw.Chami alisifia sana kituo cha Polisi Okaoni Kibosho kuwa ndio kituo cha kisasa kuliko vituo vyote Tanzania.
Alisema yafuatayo...
Jimbo la Moshi vijijini ni moja ya majimbo hapa Tanzania ambayo hayajawahi kupata mwakilishi anayejitambua.Ninasema hivi nikiwa timamu kabisa kutokana na huyu Mbunge kuwa bubu bungeni kiasa kwamba...
Tumeshuhudia ziara ya Rais wa China hapa nchini pia ziara ya Kinana iliyochukua siku kadhaa huko China, kinachonifanya niulize swali hili ni kuwepo na taarifa za kuwa Mwigulu Nchemba naye yupo...
Katika uwanja wa siasa, hasa siasa za moja kwa moja (active politics) kuna aina mbili ambazo hutumiwa na wanasiasa ili kupata ridhaa ya kuongoza. Iwe ni uongozi wa nchi, jimbo, kata, mtaa ama...
Ni katika viwanja vya Mkwawa ambako atawahutubia wananchi na baadaye kuwapa vyeti wanachuo wanaohitimu ktk vyuo vya tumaini,Mkwawa na RUCO, pigo kwa Lukuvi na Nchimbi hakuna kulala mpaka CCM...
NEWS
By ADAM IHUCHA Special Correspondent
Posted Saturday, May 11 2013 at 16:23
IN SUMMARY
The three UAE nationals and a Saudi are among eight people arrested after the blast killed three...
Bila kumuunganisha Lusinde wala Professa Maji marefu, wafuatao ni wabunge wa CCM tu wapatao ishirini niliowachuja kutoka kwenye tovuti ya bunge pamoja na viwango vyao vya elimu.
Tunafahamu kuwa...
Imekuwa ni tabia ya wabunge wetu kukitumikia chama au kama sio kukitumikia chama basi ni kukiogopa chama kuliko kuwaogopa wapiga kura wake.
Ukianagali wajibu wa wabunge wetu utagundua kuwa...
Chama nambari wani kilipokuja na sanaa za kujivua magamba niliogopa. Magamba yalipokipiga mkwara kikanywea. Badala ya kuyashughulikia, yalikishughulikia na yakaendelea kufanya vitu vyake. Nami...
Kutokana na maelezo ya Tundu Lissu aliyoyatoa leo Iringa ni kuwa utaratibu wa kubadili taratibu za usahishaji wa mitihan ni agizo lililotolewa na katibu mkuu wa wizara ya elimu na wala sio kweli...
Waziri wa Ujenzi, John Pombe Magufuli yupo live TBC1 anawasilisha bajeti ya wizara yake.anasema kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara ya Dar hadi Chalinze yenye upana wa njia sita unaendelea na...
CHADEMA NI DAWATI LA UKOMBOZI BUNGENI
Mh.Dkt. Webiro Lucas Webiro ambaye ni kiongozi wa ziwa mashariki yaani Shiyanga,Simiyu,Mara na mgombea ubunge mtarajiwa jimbo la bunda mjini 2015 wakazi wa...
kiongozi kanda ya ziwa mashariki na mgombea ubunge jimbo la bunda mjini 2015 aliyetangaza nia Dr. Webiro L.Webiro{Umwana wayeka}. akiongea na wananchi wa bunda mjini kwenye vijiji vya nyatwali...
WAKULIMA NA WANUNUZI WA MBEGU ZA UDINI HAWA HAPA
TAIFA letu (tz) kwa mda wa miaka miwili sasa linapita katika kipindi kigumu na hatarishi kwa umoja na mshikamano wetu katika nyanja mbalimbali...
jamani wana jf ni vyema tukajadili hili swala la kiongozi wa nchi kuwateua watu ambao wameshafanya kazi serikali muda na kuwapa wadhifa mwingine mfano ni kama uteuzi wa mabalozi amejaribu kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.