Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anaanza ziara rasmi ya kichama leo katika wilaya za Momba na Mbozi.Dr Slaa anaingia Tunduma akitokea Zambia alikokuwa takribani wiki moja kwa ziara ya...
Waziri EMMANUEL NCHIMBI katika taarifa yake ndani ya bunge amejichanganya juu ya idadi ya watuhumiwa waliokwisha kukamatwa kuhusiana na mlipuko wa Arusha.
Jana wakati akiongea na STAR TV...
Mbunge wa Arusha Godbless Lemma leo amemlipua Bungeni Diwani wa Kata ya Terrat CCM kwa kuchangisha wananchi pesa zaidi ya Ml 30.Miaka mitatu iliyopita na hadi leo hajaitisha Mkutano wa Wananchi...
Baada ya kufanya utafiti nimegundua kuwa chadema wakiingia madarakani mambo yafuatayo yatatokea nchini:
1 uzalendo utafufuka.taifa bila uzalendo ni taifa mfu.uzalendo ndio unaojenga taifa...
Swali la Ugomvi: Hivi lilikuwa wazo la nani la kumshtaki Lwakatare kwa makosa ya Ughaidi na baadaye kutumia majukwaa ya siasa kurusha misumari ya tuhuma za Ughaidi kwa CHADEMA?
Nauliza kwa...
Ndg wanaJf hasa wapenzi na mashabiki wa CHADEMA,kesho 13/05/13 ni siku ya aina yake ambapo kesi inayogusa hisia za wengi;ya Lwakatare itasikilizwa.Sintofahamu iliyopo ni kama mahakama ya Hakima...
Leo hii kupitia taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku huu, kulikuwa na taarifa kuwa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii imeendesha semina kwa wabunge kuhusuiana na mifuko hiyo.Huu ni mfano...
Ninefungua gazeti la Mwananchi nikakutana na kichwa cha habari "Ponda bado ngangari" mbele ya hiyo headline kuna picha ya Lipumba na ndani ya hiyo habari kuna maoni ya Lipumba baada ya maelezo ya...
Akihojiwa asubuhi hii na Radio One Sterio ktk kipindi cha kumepambazuka, Prof. amekiri wazi uzembe ulojitokeza kipindi chote cha nyuma katika kubinafsisha na kusainiana mikataba ya uchimbaji na...
Wadau, ningependa tu kupata taarifa juu ya uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji 17 na vitongoji 54 uliokuwa ufanyike Iramba magharibi tarehe 26/5/2013 kwa mujibu wa thread iliyowekwa humu jf siku...
Ndg wana JF kumekua na hali ya malalamiko ya wakulima kote nchi kuhusu usambazaji wa pembejeo feki za kilimo hasa Mbegu na mbolea, kwa wale watu wa nyanda za juu kusini hasa Rukwa tayari mazao ya...
Inavyoonekana CCM hawakumbuki maagizo ya baba wa Taifa mwl.Nyerere,kwa research yangu nimegundua haya ;udini,Rusha,muungano,ufisadi,unyonyaji,undugunaization ktk kazi,migodi imeuzwa.Na hivyo...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC-CCM) na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa amewataka viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa na utaratibu wa kukosoana pindi wanapokosea badala ya...
Waendesha bajaji wakimsubiri Dk. Kafumu nje ya mji wa Igunga wakati walipowasili
Msafara wa Dk. Kafumu, ukiongozwa na pikipiki na bajaji baada ya kuwasili mjini Igunga
Dk. Kafumu...
Katibu waitikad na uenezi wa ccm nape nnauye anatarajia kutua igunga leo kwaajili ya mapokezi ya mbunge aliyerejeshewa ubunge na mahakama juzi dr.kafumu
nape anatarajia pia kuwahutubia wananchi...
THAMANI YA Dr.SLAA KISIASA NA ANGUKO LAKE KABLA YA 2015
WACHAMBUZI wa siasa Ndani ya Taifa hili(Tanzania) kwa sasa kalamu zao na macho yao wanapojadili chama pinzani wanamaanisha...
Nimejaribu kutafajari sipat jibu ni nani ndani ya ccm anaweza kulinganishwa na mwl nyerere.Sifa za mwalimu nyerere- hakuwa mtu wakulimbikizia mali,hakuwa mtu wakuyumbishwa, alikuwa na mahamuzi na...
Chama cha CHADEMA wamechezewa changa la macho kwa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya Rwakatare, ambayo wametumia muda mwingi kuishughulikia na kuacha kushughulikia kesi za msingi kama ya Igunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.