Mwenye majibu haya juu ya CHADEMA na KATIBA MCHAKATO WA KATIBA MPYA ANIJULISHE

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Mimi kwa sasa sielewi, hawa chadema wamejitoa au hawajajitoa? km hawajajitoa ni ugumu gani wanaoupata wa kutueleza wananchi ni nn haswa ni hatima yao juu ya huu mchakato? tumesikia jana warioba anaendelea kuunda mabaraza na wao wapo kimya. Hiyo kamati kuu tuliyoambiwa itakaa hatuisikii inakaa lini na muda unakwenda tu.

Kama kuna mtu anajua lolote kuhusu muelekeo wa chadema na mchakato huu naomba anijuze,
 
Vuta subira ndugu, Chadema ni taasisi kubwa inayoendeshwa kwamisingi ya katiba na sheria zake!

Kila ikitaka kuwaeleza wananchi hufanya hivyo kwakufuata taratibu na sheria zake!

Taratibu za ndani zinaendelea na watanzania wote watatangaziwa bila kificho!
 
Naomba unieleze wanataka kujitoa ili iweje? Sababu za kujitoa?

Au ndio kupinga kila kitu ili wasikike?

Nisije nikawa nawaona wapuuzi wakati wanapinga jambo la msingi.

Ni hilo tu
 
Naomba unieleze wanataka kujitoa ili iweje? Sababu za kujitoa?

Au ndio kupinga kila kitu ili wasikike?

Nisije nikawa nawaona wapuuzi wakati wanapinga jambo la msingi.

Ni hilo tu

Kwani ulikuwa hujui kuwa ni wapuuzi Na wanahitaji kupuuzwa? Hasa Dr Kanjanja.
 
Kwa warioba kuunda mabaraza hakuhusiani na chadema kususia mchakato huo. Kuwa mpole utasikia na utakubaliana nao.
 
CDM wanatusumbua sana hiki chama kila Mtu ni msemaji Mkuu naona mwenyekiti wao kasema wanajitoa na BABU akasupport pale Dodoma then Prof Baregu akasema hajitowi kamwe........sasa tuelewe lipi? Lakini tatizo kila Mtu msemaji wa chama nashangaa mkurugenzi wa habari kakaa kimya na ana vyeo Mia ndani ya chama halafu ni mzee wa evening class.......Jitoeni haraka sana sisi tushapanga mabaraza yetu nyie endeleeni kuimarisha kanda zenu kwa kauli mbiu yenu ya Military for Change
 
Tena sanaaaaaaaa....wajitoe mapema hatutaki kulalamika nchi sio Yao hii ni ya watz wote......
 
Back
Top Bottom