Taarifa za kuaminika kabisa kutoka jimboni Mkuranga zinafichua taarifa kuwa mpambanaji, mwanaharakati, mwanamapinduzi, kada wa CHADEMA na mwasisi wa mageuzi nchini hivi punde atawasili jimboni...
Ukarabati wa IKULU
MWAKA;2006-2007
Tsh.6,114,562,685/=
MWAKA;2007-2008
Tsh.5,596,900,000/=
MWAKA;2008-2009
Tsh.5,712,000,000/=
Pesa zinazotumika kukarabati ikulu kila mwaka nisawa na...
Wakuu wana jf
Sisi wakazi wa Vijiji vya Nzali , Mlimwa , Membe,Dabaro na vijiji vingine vya eneo hili hakika hatuna mbunge. Nadiriki kusema hivyo kwa sababu kwa miaka kibaao tangu dunia iumbwe...
kwanza poleni watanzania wenzangu kwa kutiwa misukosuko kwa sababu za kutofautiana mitazamo na chama kinachojinasibu kupewa ridhaa ya kuongoza dola "ccm"
Nimefanya utafiti binafsi nimepata jawabu...
Leo ni graduation ya wanachama wa CHEDEMA tawi la SAUT wanaohitimu (mwaka wa tatu kwa social science, mwaka wa nne sheria na mwaka wa tano engineering).
Sherehe za mahafali hayo zitafanyika...
Inasemekana tokea jana kuna njama ya kuteka kijiji cha Ruaha, kwa kumuapisha kiongozi wa CCM ambaye hakubaliki na wananchi. Kama kawaida CCM wanataka kumuapisha kwa mabomu ya machozi. Kama hii ni...
Wanajf,
Kesho ni ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa vijiji ktk jimbo la mwigulu nchemba,
*Ally Bananga ndie atakae endesha kampeni ktk uchaguzi huu,
UCHAGUZI NI WA VIJIJI 8 NA VITONGOJI 28.
Mheshimiwa Spika mi nawashangaa sana hawa wapinzani,wao hawaoni jema hata moja lililofanywa na serikali hii ya chama tawala,huko majimboni kwao serikali imewafanyia mengi sana,kweli shukrani ya...
Mungu ibariki Iringa ,Mungu wabariki viongozi wa umma mkoani Iringa , Mungu uwape hekima na busara viongozi na machinga katika eneo la Mashine tatu ili kuepusha madhara ambayo...
Hivi karibuni tumeshuhudia viongozi wa kidni wakijiuzuru nafasi zao kwasababu mbalimbali. Mfano, tarehe 11/2/2013 tulishudia Baba matakatifu Benedict wa XVI akiachia ngazi kwa kushindwa kutimiza...
Saturday, May 18, 2013 | 2:38 AM
RASIMU ya Sera ya Elimu na Mafunzo Nchini inapendekeza kuunganisha elimu ya msingi na sekondari ya kawaida ya sasa ili kuunda elimu-msingi itakayotolewa kwa...
Habari wana JF
Huwa naumia sana pindi nionapo kiongozi wa CHADEMA pindi anapokamatwa awe na kosa au iweje haijalishi.
Mbunge wa ccm akihitajika police ni tofauti na wa CHADEMA huyu utadhani...
Habarini wana jf, kwa hali ya mambo inayoendelea katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, ni wazi kuwa wabunge wengi wamepoteza sifa ya uwakilishi kwa wananchi katika jengo lile la bunge...
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza viongozi na wanachama wa CHADEMA kutoka na elimu wanayotupatia wananchi, shukrani za pekee ziwaendee wabunge wa chadema na viongozi wakuu wa chama kam Mh...
Wanabodi heshima kwenu!
Zaidi ya shilingi milioni 30,zilizochangwa kwa ajili ya kumuaga Nape Mnauye zimetafunwa,nape ambaye alikuwa mkuu wa wilaya ya Masasi kabla ya kuteuliwa Katibu mwenezi wa wa...
Rais Jakaya Kikwete ameendelea kuwahasa Watanzania Waendelee Kutunza na Kuimarisha Amani tulionayo na kwamba Serikali haipo tayari kuwavumilia wale wote wenye nia na wanaojaribu kuvuruga Umoja...
Entare, Engaju , etc Wilfred Muganyizi Lwakatare ambaye ni kipenzi cha wana Bukoba mjini na Kagera kwa ujumla anaaswa na wenyeji wa mji huo kusimamisha tena jina lake katika uchaguzi mkuu ujao...
Kazi ya wabunge kwa lugha rahisi ni kusimamia (kuibana) na kuishauri serikali, Kinyume kabisa na hali hiyo wabunge wengi 97% wa ccm wamekuwa wakitetea majibu ya serikali,wakati mwingine kupangua...
MAONI YA AWALI YA NDUGU ZITTO KABWE, MBUNGE KIGOMA KASKAZINI KUHUSU RASIMU YA SERA YA GESI ASILIA
Jana wabunge tumegawiwa rasimu ya Sera ya Gesi Asilia. Leo Wizara ya Nishati na Madini...
Rais Jakaya Kikwete
amebainisha kuwa vurugu za
kidini na kisiasa zinazotokea
nchini, zina uhusiano na watu
wa nchi za nje.
Alitoa kauli hiyo jana kwenye
ibada maalumu ya kuwekwa
wakfu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.