JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Entare, Engaju , etc Wilfred Muganyizi Lwakatare ambaye ni kipenzi cha wana Bukoba mjini na Kagera kwa ujumla anaaswa na wenyeji wa mji huo kusimamisha tena jina lake katika uchaguzi mkuu ujao.
Lwakatare ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa usalama CHADEMA Taifa na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Kagera , amepanda chati gafla na kukua zaidi kisiasa baada ya kuzushiwa kesi zisizo na tija. Jambo hilo liliwaumza sana wana Bukoba na wengi wao wameapa kumrudisha Bungeni kwa gharama yoyote ile.
"Lwakatare bado yupo Lupango Segerea lakini kwa kudra za mwenyezi Mungu tunatarajia kuwa atatoka tu" haya ni maneno ya afisa mwandamizi katika halmashauri ya manispaa Bukoba mjini. Watu wameumia sana kuteswa kwa Lwakatare, na sisi kama watu wake wa Karibu tunamuomba kwa heshima zote akubali kurudisha jina lake na tunaahidi kumrejesha Bungeni.
Swali, Je? Lwakatare atakua tayari kugombea tena ubunge katika jimbo hili la Bukoba Mjini? Je nafsi yake bado inamsukuma kusimamisha jina tena pamoja na mateso anayoyaata huko Segerea?
Its just the matter of time, lets wait and see.