KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willbroad Slaa, anatarajiwa kuanza ziara ya ujenzi na kukagua uhai wa chama katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Mkoa wa...
Kikao cha kupitisha Viwango Vipya vya Ufaulu vilivyotumika kwa Kidato cha Nne kilihusisha Wizara ya Elimu na Ufundi,NECTA na TCU. Nyaraka za kikao hicho kilichofanyika Disemba mwaka...
WABUNGE wa CHADEMA; Zitto Kabwe (KigomaKaskazini) na John Mnyika (Ubungo), wame wachochea wabunge wenzao wasihudhuriesemina iliyoandaliwa leo na Wizara ya Nishati na Madini.
Sababu waliyoitoa...
Kikwete: Nawaomba msiahidi kwa watu kitu msichoweza kukifanya na kuwa endelevu kwani mtaaibika. Hivyo jipangeni vizuri kabla ya kuanza kutoa, waelezeni ukweli wazee!
- Akanusha uvumi kuwa PSPF...
Leo ni graduation ya wanachama wa CHEDEMD tawi la SAUT wanaohitimu (mwaka wa tatu kwa social science, mwaka wa nne sheria na mwaka wa tano engineering).
Sherehe za mahafali hayo zitafanyika...
Wadau hivi huu mchakato wa viatmbulisho vya taifa ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na tukashudia viongozi waandamizi wa serkali wakigawiana umeishia wapi? Mara ya mwisho ulikuwa Dar na Zanzibar...
ndugu
wana jf hili limetokea Bungeni leo N. Waziri akijibu swali la Mh Esher
Bulaya, ndo hvyo ugumu wa maisha umebarikiwa na Serikali kwa nauli
kupanda hivyo wananchi tukaze butii ...
Yule Professor Nguli wa Uchumi duniani ambaye aliwahi kuwa mshindi wa Tuzo Nobel katika uchumi na pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri wa masuala ya Kiuchumi kwa Rais Bill Clinton wa...
Hii ni kuwataarifu kuwa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, kinatarajia kuzindua rasmi kampeni za kugombea nafasi ya udiwani Kata ya Manchira. Uchaguzi huu unafuatia nafasi iliyokuwa wazi...
Wewe kama mwana chadema ungependa nani awe mbunge wako au nani agombee ubunge katuka jimbo unali toka au unaloishi kupitia chama cha demokrasia na maendeleo ifikapo mwaka 2015?
Tuwekee wasifu...
Wakuu heshima kwenu, Nimeona si vibaya tukajuzana juu ya sakata hili la Siasa KUTAWALA HATA MAAMUZI YA WATAALAMU na hivyo kuendelea kuwepo kwa matokeo mabovu juu ya elimu yote na sekta zingine...
CCM wengine kuweni makini, wenzenu wachache kimya kimya, wakikutana na Dkt. Slaa wanajitahidi kumfuata, wanasema yao ya moyoni, wakimkubali Dkt. Slaa kuwa ni kiongozi wa watu, kiongozi wa...
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Betty Mkwasa amezishambulia na kutishia kuzifuta asasi za Kiraia zinazotoa elimu kwa wananchi juu ya mchakato wa uchimbaji wa madini ya uranium na madhara yanayoweza...
WANA JF SALAM
Kuna sinema moja inaitwa Above The Law niliiangalia zamani sana hii inamuonyesha dada mmoja aitwae Sinsia alikuwa mpelelezi akapewa kazi ya kuchunguza magaidi na wauza madawa ya...
Askofu Mkuu Frances Chullikatt
Tukio la bomu latua UN
Tukio la kutupwa bomu katika Kanisa Katoliki la Joseph Mfanyakazi, Arusha limetua katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) baada ya...
Zitto Kabwe
Kesho jumamosi wabunge tumealikwa kwenye semina kuhusu sera ya Gesi Asilia. Tumegawiwa tayari nakala zetu, tena zipo kwenye lugha ya kimombo. Ikumbukwe kwamba kuanzia tarehe 22 - 23...
Juzi kati nimesoma uzi kuwa mfalme kamteua masilingi kuwa balozi huko ulaya,historia inajirudia,marehemu balozi ngaiza,balozi kagasheki,balozi dr.d.kamala,sasa balozi w.masilingi,vp ndugu yangu...
Napenda kutumia nafasi hii kutoa dukuduku langu. ni miaka kadhaa sasa tangu mheshiwa Magufuri kuitenga kwa makusudi wilaya ya Biharamulo kwa kuinyang'anya barabara ya rami na hatimaye kuiacha...
Wana JF, updates kutoka Mtwara zinasema wananchi wameitikia wito wa kutofanya kazi yeyote na kwamba ofisi za serikali tu ndio zinatoa huduma huku kila mwananchi akiwa nyumbani kwake.
Hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.