Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HALI ya wasiwasi kwa wananchi wa Manispaaya Mtwara, Mkindani, imeanza tena baada ya jana kusambaa kwa ujumbe kwenye simuza mkononi unaowataka wakazi hao kufanya shughuli zao hadi kesho na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali inayodhihirisha kuwa CHADEMA wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila...
4 Reactions
145 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu wanaukumbi! Awali ya yote nitoe pole kwa familia ya Al-marhum mzee Ally Sykes kwa kuondekewa na kipenzi chao, lakini pia msiba huu ni wetu sote Watanzania kwani hakika marehemu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
• Asema hakuitendea nchi haki kwenye mikataba MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA)amemlipua Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Andrew Chenge, akisema kuwa alishiriki kwenye mikataba...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Leo katika Hotuba ya Kambi rasmi ya Upinzani bungeni iliyosomwa na Tundu Lissu, Dr.Asha-rose Migiro ametajwa kama ndio 'Mpishi' muhimu wa mipango ya CCM katika kuchakachua mchakato wa upatikanaji...
10 Reactions
103 Replies
11K Views
Taifa letu linaangamia kila kukicha. Kwa mujibu wa taasisi ya kuhifadhi tembo, ..Hivi sasa takwimu zinaonyesha tembo 30 wanauawa kwa siku, na 850 kwa mwezi. Kinachotafutwa ni pembe za ndovu.. Kwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, binadamu yeyote yule ni mnyama kama walivyo wanyama wengine mfano mbwa, fisi, chui, simba ila kinachotutofautisha na wanyama hao ni ngekewa na kipawa tulichopendelewa na MUUMBA cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Pauline Geukul mbunge viti maalum chadema, Babati leo ametoa kali eti Mwakyembe na Tizeba wakiwa kwenye vikao vyao vya baraza la mawaziri huwa wanarembua macho tu badala ya kupambana kupata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ingawa ccm imejaza viongozi dhaifu sana ktk safu,lakini bado wanachama na wajumbe wanajituma peleka malalamiko yao. Inashangaza sana kwa chama ambacho kinategemea Mawaziri wa msimu na matukio...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Wadau naomba mnisaidie kujua mantiki ya Tume ya Pinda ambayo Mwenyekiti wake ni Prof Mchome kuendelea na uchunguzi wakati matokeo inayoyachunguza yamefutwa. Tukumbuke kuwa Tume hiyo iliundwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakuna mtanzania aliyeridhika na hali ya kiusalama, kiuchumi na hata kisiasa nchini Tanzania. Raia wa kawaida wananyanyasika. Mpenda maendeleo anaokenana Adui huku maadau wa nchi (Wana-CCM)...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Nimekaa nikawaza sana, Tangu uhuru miaka ya 60-90 Tumeanza kujitegemea mahala popte pale? au bado? kwa vipi? Nalenga afrika nzima? naelewa somalia congo sudan kwa kiasi flani wamesaidia...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
CHADEMA yafichua njama za vigogo • YAWAHUSISHA NA MATUKIO YA ULIMBOKA, KIBANDA, LWAKATARE na Josephat Isango CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaja majina ya baadhi ya watu...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
  • Closed
Ms. Lily Munanka - Minister Plenipotentiary/Head Of Chancery. Mr. Paul Mwafongo Minister Plenipotentiary, Economics Affairs B. G. Emmanuel Maganga- Defense Attaché Mr. Edward Masanja-...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Mwaka 2015 CDM inaweza kushinda na kuchukua dola. SWALI KWA CHADEMA. JE: 1.Watakuwa wanatumia sheria na kanuni zipi kuongoza nchi yangu ya Tanzania? 2. Watavunja jeshi la Polisi? 3.Wataruhusu...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ni raia muungwana nisie kuwa na chama wala sishabikii chama chochote kwani marazote huwa sichagui chama ila nachagua mtu. Naomba nitoe rai kwa chama tawala CCM kikiwa ni chama ambacho kipo...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
ktk hali ya kustaajabsha tofauti na ilivozoeleka mikutano mingi ya kuifanyka ktk viwanja vya sokoine, polisi imekuwa ikivutana na viongozi wa chadema wilaya ikidai mkutano huo utakaoongozwa na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu wana Jf, Nipo hapa uwanjani Ngarinaro, Arusha tunasubiri viongozi wafike niwape updates. Leo Chadema wanazindua kampeni za Udiwani kwa kata 4 zilizotangawa. Kwa sasa Chopa inapita Arusha...
11 Reactions
92 Replies
9K Views
Wanabodi wenzangu nimefuatilia kwa karibu vurugu ambazo zinatokea baina ya Machinga na Askari wa Jeshi letu Polisi nikagundua Maeneo mengi ambayo yanakubwa na vurugu hizo ni zile ambazo huongozwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi,Nipo katika viwanja vya stendi ya zamani ambapo mkutano wa majumuisho ya M4C katika ufunguzi wa matawi ya CHADEMA kwa kata zote 25 za Manispaa ya Tabora kwa Mh. Zitto kuongoza...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom