jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,372
kwanza poleni watanzania wenzangu kwa kutiwa misukosuko kwa sababu za kutofautiana mitazamo na chama kinachojinasibu kupewa ridhaa ya kuongoza dola "ccm"
Nimefanya utafiti binafsi nimepata jawabu sahihi kuwa serikali inayoongozwa na ccm haiwaheshimu wananchi wa Tanzania ambao ndio msingi mkuu wa kuitwa "nchi" ubaya unaongezaka pale wananchi hawa wanapopuuzwa na mtu wa cheo cha rpc kwa kumburuza korokoroni muwakilishi wao (mbunge /diwani) kwa vigezo vinavyopingana moja kwa moja na "common sense"
hapa nitolee mfano mmoja;
mchungaji Msigwa (mb) kukamatwa na polisi eti kwa madai ya kuhamasisha wananchi kufanya vurugu ni kudhihirisha ukweli wa utafiti wangu, Mch. Msigwa ni muwakilishi wa wananchi, hawa wananchi wanamgogoro na serikali, kama muwakilishi wa wananchi yuko sahihi kuwa upande wa wananchi, na hapo aliirahisishia serikali kwamba ingeweza kuyapata malalamiko ya wananchi kupitia muwakilishi wao (Mch. Msigwa) ambaye alikuwa front,kupitia vikao muafaka.
kwa kushindwa kuijua njia hii, nashawishika kusema kuwa serikali inakataa hadharani kuwa pale (iringa) "hakuna mgogoro"
inajidhihirisha sasa "serikali corrupt haikusanyi kodi, inakimbizana na wafanyabiashara ndogo ndogo mabarabarani" jkn
kwa sababu wananchi wamepingana na ccm inayodhani hii nchi ni yake
WAKATI UMEWADIA "TUIKATAE CCM" KWA NAMNA YOYOTE.
POLE MAX MELO TWAKUTAKIA KWIK RIKAVARI SEMENI AMEN