Kweli Siwaelewi CCM. Juzi juzi kama vile walisema AMANI inaharibiwa na baadhi ya vyama vya upinzani. Lakini sasa nasikia kuwa watu kutoka nje ya nchi wanaharibu amani yetu! Suala la udini na kauli...
Ndugu wana Jamvi
huu ni mtizamo wangu na pia inawezekana ni elimu isiyorasmi (yaani si ya darasani) ambayo nimeipata kwa babu na bibi zangu na pia kujionea na kujifunza mambo mbali mbali kwa...
Kwa kuwa sasa tunaelekea kutoa suala la mafuta na gesi katika orodha ya mambo ya muungano, NI DHAMBI KUBWA NA UTAPELI PAMOJA NA UNYONYAJI KAMA TUTARUHUSU SUALA LA ARDHI LIENDELEE KUWA LA MUUNGANO...
17/05/2013
Mbowe (pembeni mlangoni kulia) akishuhudia kile alichokiita ni maajabu ya elimu ya Tanzania. (picha: Pamela Mollel)
Na Pamela Mollel via Jamii Blog -- MBUNGE wa Jimbo la Hai...
WAKATI serikali ikishindwa kutoa maelezo ya namna fedha zilizotolewa na serikali na kuidhinishwa na Bunge kwa ajili ya kuhuisha uchumi (Stimulus Package) sh trilioni 1.7 zilivyotumika, Katibu Mkuu...
Kuna taarifa kuwa wanafunzi wa Udom 10, Kwa niaba ya wenzao jumatatu au Jumanne wamepanga kumuona Waziri mkuu.
Wamesema wanaenda kuonana naye ili atoe ufafanuzi wa kwa nini UDOM...
Kwa mujibu wa Prof Ibrahim Lipumba kupitia kituo cha ITV, anasema kuna habari kazipata kuwa mawaziri wanapanga kupeleka hoja bungeni ili Kikwete aongezewe muda hadi 2017!! Sababu ni kuwa asimamie...
Aliekua na miaka 14 mwaka 2000 leo hii ameshakua mtu mzima mwenye miaka 18 na akifanya kosa anafungwa gereza la wa kubwa,na mwenye miaka 19,20,21,22na 23 wanatambulika kua wameshakua watu...
Ninajiona kama sitendi haki na nahisi nitajutia moyoni kama haya mashaka sintayaweka wazi. Najua nikiyaweka wazi kuna uwezekano mkubwa wa kupata post zitakazoniondolea mashaka yangu.
Jukwaa la...
Mhashamu Justin Portal Welby, Askofu Mkuu wa Canterbury na Kiongozi wa Kanisa Anglikana Duniani;
Mhashamu Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Erasto Chimeledya;
Wahashamu Maaskofu...
Migogoro baina ya aserikali na wachuuzi wa biashara ndogondogo imekuwa jambo lililozoeleka sasa. Wafanyabiashara hawa wameendelea kung'ang'ania kufanya biashara zao mijini ambapo kimsingi ndipo...
Wakuu.
Mtakumbuka kuwa leo Dr Slaa anafanya mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Kwaraa Babati mjini.
Uwanja wa Kwaraa, Babati Mjini ndipo mahali ambapo Dkt. Slaa alimnyamazisha kbs aliyekuwa...
Wakuu.
Kama kuna mwanaJF
anaye hitaji audio ya mdahalo
wa Dr Slaa alio ufanya siku 8 kabla ya uchaguzi mkuu wa 0ctober 31, 2010 pale
Movenpick Hotel anitumie
namba yake ya simu kwenye
namba...
OIC, MBWA MWITU ALIYEVAA NGOZI YA KONDOO.
Jumuiya ya nchi za kiislam OIC[ organization of islamic conference] iliasisiwa mwaka wa 1969,
jumuiya hii ilianzishwa nchini MOROCCO tarehe 21Agust...
Ni dhahiri iliyokweli CCM ijithmini yenyewe kwa sasa kama chama cha siasa na kinachotawala nchi yetu ili kiweze kupata ridhaa ya kuendelea kutawala katika zama za siasa za ushindani tanzania...
NI MTIZAMO TU
Nilimjua AGUSTINE L. MREMA pale alipotoka ccm na kujiunga na chama cha NCCR kwa hakika MREMA ailkuwa tishio mwaka 1995 ambapo BABA WA TAIFA kwa kulitambua hilo akaamua kumpigia...
Nimekua nikifuatilia kwa muda mrefu hoja mbalimbali zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakiwemo wa chama kinachotawala na wa vyama vya upinzani kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu kubaguana...
Ndiyo Wanabodi ! Kamanda Lisu ameongozana na Makamanda Hamedi na wenzake leo katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa diwani kata ya Iseke ,jimboni Singida Magharibi . Katika kuelekea...
Unapokuwa na kiongozi mwenye sifa hizi hafai kuwa kiongozi
1. Anaendesha chama kwa kupendelea watu walioupande naye kifkra hata kam hazina mashiko
2. Kutengeneza makundi katka viongozi wa juu na...
Serikali ya CCM hembu tuambieni ni nani hatari zaidi kwa ustawi wa nchi hii kati ya mmachinga anaevunja sheria kwa kuuza bidhaa zake mitaani,tena kwa kukosa eneo la kufanyia biashara,na Raisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.