Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenye kuwa na video au audio speech ya Lowasa aliyotoa wakati wa kujiuzulu tunaomba hapa tuweke kwenye simu zetu maana ilijaa usanii mwingi na inafurahisha kuisikiliza. ''Mh. spika, now am going...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
  • Closed
Yahya Msangi Lome, Togo Toleo la 294 15 May 2013 HAPO kitambo kidogo niliandika makala katika gazeti la Raia Mwema nikiomba waumini wote wa kiislamu na kikristo ‘wachinje’ imani zao ili Taifa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu ndio wakati wa kujua mbivu na mbichi ni zipi chadema inabidi iupe mfumo wa majimbo nafasi kwenye chaguzi hizi zinazofanyika mwezi ujao. kata ziachwe kwenye majimbo ya wahusika ili kupima...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
  • Closed
UMEWADANGANYA watanzania vya kutosha, umewapandikiza chuki nakuwafitinisha vya kutosha, haujaweza kuwashauri kufanya kazi zaidi yamaandamano, umewaburuza vya kutosha ndani ya chama na umewagawa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mbunge huyu wa Nzega amekiri bungeni kuwa wananchi wa mkoa wa Tabora wote huwa wanaichagua CCM, jambo hili linawakera CHADEMA na kuwafanya waende Tabora kuwahadaa wana-Tabora kuwa, nanukuu, "CCM...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwasasa Hayati Dr F Masau alikuwa daktari bingwa wa maswala ya moyo hasa upasuaji. Alianya masomo yake katika chuo kikuu kishiriki muhimbili, intern KCMC, halafu China kwa ajili ya elimu zaidi. Dr...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
CCM kweli wamechoka eti kwanini hawa jamaa wanaleta sera na hoja nzuri kama wapinzzani na hivyo kuimiza CCM hivyo kushtakiwa kwa Kikwete Dodoma ila katika hali ya mshangao Beatrice Shelukindo na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Will MPs around Africa learn a lesson from Kenya protests? Do pigs have wings? By Jenerali Ulimwengu Posted Saturday, May 18 2013 at 12:14 THE EAST AFRICAN The pig demonstration...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali isogeze mbele mzunguko wa nne (Fourth Round) wa utoaji wa leseni za utafiti na ugunduzi wa gesi asili mpaka kwanza ikamilishe mchakato wa maandalizi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo wamepania kutoa madukuduku yao wakati wa mkutano wao na Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Rais Jakaya Kikwete, mjini Dodoma. Katika mkutano huo ulioitishwa...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
  • Closed
Kesho kuna uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya nyampulukano na Mawazo akishirikiana na viongozi wa kanda ya ziwa magharibi watazindua kampenini hizo.MAWAZO anasema ana majukumu ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kata ya Kimandolu itaongozwa na Dr Slaa,Mh Sugu,Mh Nassari, na Alphonce Mawazo.Kata ya Themi itaongozwa na Mh Msigwa, Mh Zitto, Mh Lucy Owenya,na Mh Parresso,Kata ya Elerai itaongozwa na Mh...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanajamvi...karibia wiki mbili sasa baada ya mahakama kuu kumfutia Lwakatale kesi ya ugaidi. Naamini mwigulu au alikuwa hayuko nchini au ndio kipindi hicho alikuwa anaondoka kwenda...
4 Reactions
74 Replies
7K Views
Wakuu habari za uhakika kutoka Lumumba ni kwamba, ghaidi la CCM Mwigulu Nchemba kumbe ni kibaraka la Edrwardo Lowa- sana. Habari za uhakika zinadai kwamba kundi moja linalosaka urais 2015, ili...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
  • Closed
Ndugu wanaJF, jana kwenye taarifa ya habari ya ITV saa 5 (23:00) maana ndio muda nasikiliza taarifa ya habari afande Kova alikuwa akionesha vifaa vya milipuko, nyaya za kuunganishia, betri na...
2 Reactions
78 Replies
7K Views
Wana Jf, Leo kulikuwa na uzinduzi wa kampeni za chadema katika kata nne za jimbo la Arusha, ambayo ni Elerai, Kaloleni, Kimandolu na Themi. Tulipata shida sana kuleta update kwa wakati kutokana na...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Hatimaye hatua za mwisho kwa ajili ya uchaguzi ngazi ya raisi chuo kikuu cha ruaha kuisha leo, wanazuoni wengi wameonekana kuwakubali wagombea kwa kiasi fulani , pia wagombea wanaoneka kugusa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati watanzania na dunia nzima kwa ujumla tukikiri kuwa ugonjwa wa ukimwi ni hatari kwa maisha ya binadamu,hapa kwetu Tanzania wabunge wa CCM ni hatari kuliko hata huo ukimwi kwa maisha ya...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Closed
Mh. Naibu katibu mkuu wa CHADEMA taifa, Zitto Z Kabwe atautikisa mji wa Tabora na viunga vyake hii leo kwa kufungua matawi ya chama katika kila Kata ya Mji huo. Kupitia ukurasa wake wa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Samahanini... sijamsikia huyu kijana mchapakazi, kamanda wa ukweli, yu wapi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom