OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANAWAVITTO, Oct 22, 2012.

 1. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  OIC, MBWA MWITU ALIYEVAA NGOZI YA KONDOO.

  Jumuiya ya nchi za kiislam OIC[ organization of islamic conference] iliasisiwa mwaka wa 1969,

  jumuiya hii ilianzishwa nchini MOROCCO tarehe 21Agust 1969 AD, au 12 Rajab 1389 H,

  *. Jumuiya hii ilianzishwa kutokana na mashabulizi ya ISRAEL yaliyofanywa dhidi ya nchi za kiarabu, na kutekwa kwa mji wa YERUSALEM,[ AL-QUDA], katika vikao viwili kile cha MOROCCO tarehe 25 september 1969, na kile cha mjini JEDDAH cha mwezi machi 1970 kiliweka maazio ya kuuteuwa kwa muda mji JEDDAH kuwa makao makuu ya muda ya OIC ambapo kikao hicho kiliazimia kuwa MAKAO MAKUU YA KUDUMU YA OIC YATAKUWA NI YERUSALEMU.

  Moja ya kipaumbele kikuu na lengo kuu la kuasisiwa kwa OIC ni kuikomboa YERUSALEMU kutoka mikononi mwa ISRAELI pamoja na msikiti MTAKATIFU WA AL-AQSA ulio sehemu muhimu kwa imani ya kiislam kwani AL-AQSA ndiyo QIBLA cha kwanza cha waislam kabla hakijageukia AL-KAABA. hivyo yaliwekwa maazimio matatu muhimu,

  1. kujijengea uwezo kwa kufanya yafuatayo. [a] kujenga mshikamano miongoni mwa waislam,
  kujenga mashirikiano ya jamii nzima ya kiislam,
  [c] kuupigania uislam kwa kulindamaeneo MATAKATIFU pamoja kulinda vitabu VITAKATIFU,

  2. kuunganisha nguvu ili [a] kupigania sehemu TAKATIFU.
  kuunga mkono harakati za WAPALESTINA KUJIKOMBOA,
  3.Kufanya kazi kwa pamoja
  [a] kuondoa ubaguzi miongoni mwa waislam na
  kueneza dini na utamaduni wa kiarabu. nk.

  ili kufanikisha azma na malengo ya jumuiya vilianzishwa vyombo mbalimbali vya kusimamia shughuli zote kulingana na vipaumbele husika, ili kuyafikia malengo hayo KIKAO KILIGUSIA maeneo haya. ELIMU, SIASA, UCHUMI na DINI , mambo haya yaliwekwa chini ya KATIBU MKUU ili kuhakikisha kuwa malengo yanafanikiwa
  1-KUHAKIKISHA KUWA ZINAANZISHWA SHULE ZA KIDINI[MADRASSA ] zitakazo toa ELIMU ya DINI-SIASA kazi kubwa ya shule hizi ni kujenga uadui kati ya UTAWALA WA KIZAYUNI[ISRAEL ] uliolikalia kwa nguvu eneo takatifu la yerusalem ulipo mskiti wa AL-AQSA , mbinu hii imesaidia sana kwani baada vijana wengi kufunzwa katika MADRASA hizi za DINI SIASA[ UDINI] tumewashuhudia wakitamka hadharani kuwa UTAWALA WA KIZAYUNI UNAPASWA KUFUTWA KWENYE RAMANI YA DUNIA NA PALESTINA LIWE TAIFA HURU,

  chini ya mwamvuli huu mara kadhaa tumewasikia wahubiri wadini ya kiislam kama vile ABOOD MOHAMEDY ROGO, ANWAR AL AWALAKI, ABU QATADA, na wengineo wakiwahamasisha vijana wa kiislam kwenda PALESTINA kuwapigania ndugu zao.
  Kivuli hiki cha DINI SIASA kimeendelea kukua hasa pale mataifa ya MAGHARIBI kuonekana wakiingua mkono ISRAEL, mafundisho haya ya dini siasa sasa yanazigusa hata nchi hizi zinazoonekana kuwa ni washirika wa utawala wa KIZAYUNI,
  katika mafundisho haya ya DINI SIASA yaliyoasisiwa na OIC yamefanikiwa kuzalisha makundi ya KIGAIDI na MISIMAMO MIKALI YA DINI-SIASA[UDINI] ndiyo maana nchi ambazo zilikuwa za mwanzo kujiunga na jumuiya hii kwa sasa zinakabiliwa na mfumuko wa siasa kali za udini,
  UDINI ulionwa kuwa ndiyo njia pekee ya kuyayafikia malengo, yaani kuwafundisha vijana wa kiislam kuwa ADUI YAO NI YULE ANAYEWANYIMA HAKI YA KUWA NA YERUSALEM.
  hapa ndipo yalipoanza madai ya kile kinachoitwa MFUMO KRISTO, yaani washirika wa utawala wa MAZAYUNI
  unaowanyima haki waislam, kwa kutumia mbinu za hali ya juu za kutengeneza mazingira wamefanikiwa kuziteka nyoyo za wengi.

  Madhumuni ni mamoja tuu, KUKUSANYA NGUVU NA KUIKOMBOA YERUSALEM ILI IWE NI MAKAO MAKUU YA OIC.
  hata hapa kwetu mafundisho haya tayari yamekwisha kupenyezwa.
   
 2. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Molemo
   
 3. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  MWANAWAVITTO Haijasomeka. Mada za udini zinakuwa ngumu kuchangia wewe? hasa kwa wale tunaoamini katika utanzania na siyo udini kama wewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Napita tu...
   
 5. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haijasomeka kwako
   
 6. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaotaka tz ijiunge oic wana akili timamu kweli?
   
 7. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mbona kichwa cha habari hakiendani na content? Maelezo yanaonyesha uzuri wa oic lakini ww kwa chuki zako umeamua kupotosha
   
 8. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  wasiotaka tz ijiunge na na oic wana akili timamu kweli?
   
 9. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uzuri wa oic kwa nani?
   
 10. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio maana suala hili linatakiwa kuwa ndani ya Uislam kuliko Utanzania wote.

  Kwa malengo hayo OIC ilitakiwa kuruhusu taaisisi za Kiislamu kama Bakwata au Jumuia ya taasisi za kiislamu ya Issa ponda kujiunga.
   
 11. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  unataka ujibiwe nini? Acha chuki na ubaguzi wako huo
   
 12. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata huyu ndugu kaleta utafiti wake anataka tujadili kosa liko wapi? Kujadili suala hili kwa uwazi kutasaidia kupunguza hofu kuliko kulifanya ni suala la serikali.
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  CHADEMA inaingiaje hapa?
   
 14. a

  artorius JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 758
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakuu tutafakari kwa kina bila ya matusi na kejeli,lets weigh the pros and cons b4 we join oic
   
 15. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kuna nchi nyingi hapa duniani zimejiunga na oic na wala hakuna matatizo,kwanini watanzania mna chuki? Acheni oic iwanufaishe watanzania hasa wananchi maskini
   
 16. T

  Tabby JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,895
  Likes Received: 5,528
  Trophy Points: 280
  Waisilamu tumeshayaona makucha yenu. Jiungeni na dini yenu ya OIC kma watu binafsi. Sis msitushirikishe hatutaki. Hamna jipya zaidi ya kufurahia mauaji, ubaguzi, vurugu na HIla. LOL.!. Tanzania haitakuwa chini ya dini ya kiislam wala OIC. Hayo ya kwenu msitushirikishe. Endeleen ina madrasa yenu lakin msitke kutuburuza w ote tuwe kama ninyi. Inatosha. Mwenye macho haambiwi tazama.
   
 17. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila jambo lililo kinyume na mtazamo wako ni chadema?

  kwa nini usijenge hoja kupangua kifungu kwa kifungu na kipengere kwa kipengere hapo juu ili kuwasaidia wanaotoa tafsiri potofu kuhusu OIC.

  katiba ya OIC ina vipengere vinavyohitaji maelezo na ndivyo vinatumiwa na wanaopinga OIC kama ilivyoelezwa hapo juu. wasiwasi wa baadhi ya wananchi unatokana na hoja hizo.
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Baba V kapita.....
   
 19. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  OIC! whatever Haiusiani na Utu wa Mtanzania.
   
 20. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  MWANAWAVITTO Hivi kujiunga na OIC kuna athari gani kwa Tanzania kama nchi ambao serikali yake haina dini bali wananchi wake? Nadhani hakuna haja ya kuumiza vichwa kwa suala ambalo kujiunga kwake hakuna athari yoyote na naamini hakuna lazima kutakuwepo na faida japo faida hizo haziwezi kuonekana moja kwa moja kwa upande wa waumini wasiyo waislamu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...