Kiongozi wa style hi anamapungufu makubwa

Kiongozi wa style hi anamapungufu makubwa

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Unapokuwa na kiongozi mwenye sifa hizi hafai kuwa kiongozi
1. Anaendesha chama kwa kupendelea watu walioupande naye kifkra hata kam hazina mashiko
2. Kutengeneza makundi katka viongozi wa juu na kuwaita waliokinyume masalia
3. Kuendesha chama kwa kutumia mdomo badala ya kuandika barua na kujibiwa na barua.
4. Kupendelea vurugu na maandamano na kutaka kuwatisha polisi
5. Kusapoti mambo ya kigaidi
6. Kuvujisha siri za barua za viongozi ambazo ni confidential
7. Kuaandaa mikakati ya kuwanywesha sumu viongozi wengine
8. Kushirikisha mkewako katika hughuli za kitaifa wakati kikatiba hatambuliki
9. Kujilipa maslahi makubwa kuliko hao wananchi anaowatetea ambapo kimsingi wanaishi chini ya dola moja
10. Kupendelea katika chaguzi watu watu unaowaona wako upande wako na huwa hawakukosoi
. Kama kuna kiongozi yoyote mwenye sifa hizo hafai kuwa kiongozi
 
Vilevile asiwe na sifa za kuchukua wake za watu wala kuwatamani vilevile asitelekeze familia yk
 
Bora ungemtaja tujue ninan unafichaficha nn
 
Anaemfanya mkewe na mwanae ni sehemu ya dola.....
Anaelalamikalalamika bila kuchukua hatua, ilhali ana mamlaka.....
Anayehukumu washindani wake kwa kushindwa kukamata wahalifu....
Anayekua nje ya nchi yake muda mrefu kwa kisingizio cha kuombaomba...
Ambae familia yake ina mkono kwenye biashara nyingi...kwa kutumia madaraka yake.......
 
anaemfanya mkewe na mwanae ni sehemu ya dola.....
Anaelalamikalalamika bila kuchukua hatua, ilhali ana mamlaka.....
Anayehukumu washindani wake kwa kushindwa kukamata wahalifu....
Anayekua nje ya nchi yake muda mrefu kwa kisingizio cha kuombaomba...
Ambae familia yake ina mkono kwenye biashara nyingi...kwa kutumia madaraka yake.......

mbona na wewe unatumia style moja mtaje tumjue
 
Sipendi siasa za tanzania always majitaka style
 
Je kiongozi anaweza kuwapa watu masharti juu ya malipo yake kam ni mzalendo?
 
acha ujinga nani kakutuma utaje majina ya watu hapa

We ndo mjinga,
Mipasho ya nini kama una uhakika na unacho kinena?
weka vitu hadharani huna haja gani ya kuanza kuzunguka kama hadija Kopa au mzee Yusuf kwenye uzio wa taarabu!
Just be open kama issue si majungu!
 
Vilevile ni kosa kuiba fedha za kanisa

Vipi walioficha fedha uswizi, wanafaa kuwa viongozi?
vipi waliokula fedha za EPA wanafaa kuwa viongozi?
Vipi wanafiki wanawatetea mafisadi badala ya kuwatetea wanyonnge kama wewe wanafaa kweli hata kuwa baba wa familia?

............................HAPANA HAWAFAI.....................................
 
Unapokuwa na kiongozi mwenye sifa hizi hafai kuwa kiongozi
1. Anaendesha chama kwa kupendelea watu walioupande naye kifkra hata kam hazina mashiko
2. Kutengeneza makundi katka viongozi wa juu na kuwaita waliokinyume masalia
3. Kuendesha chama kwa kutumia mdomo badala ya kuandika barua na kujibiwa na barua.
4. Kupendelea vurugu na maandamano na kutaka kuwatisha polisi
5. Kusapoti mambo ya kigaidi
6. Kuvujisha siri za barua za viongozi ambazo ni confidential
7. Kuaandaa mikakati ya kuwanywesha sumu viongozi wengine
8. Kushirikisha mke wako katika hughuli za kitaifa wakati kikatiba hatambuliki
9. Kujilipa maslahi makubwa kuliko hao wananchi anaowatetea ambapo kimsingi wanaishi chini ya dola moja
10. Kupendelea katika chaguzi watu watu unaowaona wako upande wako na huwa hawakukosoi
. Kama kuna kiongozi yoyote mwenye sifa hizo hafai kuwa kiongozi
sorry hapo kwenye Red ISOMEKE HAWARA /KIMADA/ MTU BAKI na sio Mke!!
 
kwi, kwi kwi, kwi... nawacheka maana mmesahau yafuatayo..
Asiwe kigeugeu ndani ya chama.(salia)
Asishirikiane na magaidi kutengeneza kesi kwa wasio hatia na kuwatesa
Asiwe mropokaji
Aijue vizuri Tanzania na siyo kupotosha Muungano na kuwakilisha taifa visivyo
Asitumie mamlaka kuwazima wakulima, wafugaji na wafanyakazi.
Mwisho kabisa asiwe kama Mwigulu au Lusinde (hawa sifa zao ni mbaya mno hadi tunashindwa kufanya fumbo dhidi yao)
 
Back
Top Bottom