Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete*Awataka wafanyemchakato wao bila kuvuruga chama *Awashushua wanaokachamajimbo na kuwanunia wenzao *Wabunge wamtaka awang'oemawaziri watatu ‘mizigo'...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tukiwa na zaidi ya miaka 50 baada ya uhuru tumeshuhudia mikoa mingine ikiwa nyuma sana kimaendeleo huku mikoa mingne ikiwa imepiga hatua kubwa kimaendeleo. Kikubwa tu ni kwamba natambua tu kuwa...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
  • Closed
Wanasiasa wakitumia baadhi ya wanaojiita viongozi wa dini, wanataka kututenga kupitia imani zetu za dini kwa manufaa ya kisiasa. Kauli za kwamba kuna udini zinatoka kwenye midomo ya wanasiasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii hapa chini ni barua ya Charles Mullinda ya kujitoa kwenye jukwaa la wahariri Tanzania. Charles Mullinda Mhariri Mtanzania Jumatano Kaimu Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri YAH: KUJITOA KWENYE...
0 Reactions
91 Replies
9K Views
Unique and First Heart Hospital in Tanzania "At the institute a patient is the most important visitor; he is not dependent on us, we are dependent on him; he is not an interruption on our...
27 Reactions
121 Replies
16K Views
Kitendo cha CCM yangu kukamata, kushikilia na kuachia viongozi waandamizi na hata Wabunge wa CHADEMA au kuwafunga midomo wahusika hao, ni kugawa bure Majimbo na ushindi mwingine hata kabla ya 2015...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Tarehe 18 December 2009, Mtandao Wa Wanataaluma Tanzania (Tanzania Professionals Network - TPN), ulifanya Mkutano Wa Wanataaluma Waishio Nje (Diaspora) naNdani ya Nchi uliofanyika katika ukumbi wa...
13 Reactions
48 Replies
4K Views
  • Closed
Best article ever. Acha uvivu wa kusoma, isome hadi mwisho halafu utaona mantiki ya huyu mwandishi. Good job Yahya, tunakuombea wasikutoe macho na kucha! UDINI: Tuambizane ukweli, hivi tatizo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kumbuka wimbo. sherehe za taifa zinatukumbusha mambo mengi hapa tanzania!azimio la arusha linatukumbusha kifo cha mabepari tanzaniaaa! kweli kabisaa kifo cha mabepari umasikini kutawanyika...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika kikao cha Bunge cha jumatatu wiki hii, Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila aliijia juu serikali na kuitaka ifanye maamuzi yake kwa Weledi bila kuogopa!.. Alitoa ufafanuzi wa maneno...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Alikwenda kwenye bar iitwayo AFRICAN QUEEN akakuta watu wakinywa, ilikuwa jioni na akawa anapiga kampeni watu wakamzidi sera. Baada ya hapo akawapiga wote 10 remember ni body builder. After all...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wiki iliyopita Mh. Peter Msigwa aliongelea tatizo la Wamachinga wa Iringa. Alishauri yafuatayo: 1. Serikali ifanye mpango wa kuongea na wamachinga na kupata suluhisho la pamoja. Anasema kuwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Natambua kuwa kata haipo kwenye Majimbo yenu, lakini kuwepo kwenu kwenye majimbo ya Dar, mmekabidhiwa dhamana ya kuikomboa Dar nzima na ukanda wote wa Mashariki. Sitaki kuandika sana leo...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Chama cha demokirasia na maendeleo (chadema)kimepanga kuzindua kampeni za udiwani ktk jiji la arusha kwa shamra shamra kwa kutumia elcopta kupita katika mji mzima wa arusha na kumwaga...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
Na Beatrice Shayo|Nipashe Kufuatia sakata kuwa Serikali haina mitaala rasmi ya kufundishia shuleni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania, Dk Paul Mushi, amejiuzulu wadhifa huo. Nafasi...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Kwa wote wasio na taarifa: Kesho jumapili tarehe 19 May 2013; saa tano asubuhi zitafanyika heshima za mwisho kwa mpendwa wetu Dr MASAU katika hospitali ya AGA KHAN Upanga.
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mungu Ibariki Tanzania! Wakuu, nimeipenda comment ya Prof.Baregu alipokuwa akihojiana na kituo cha Radio One Stereo juu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokuwa na busara na hekima kwa viongozi wetu kutaendelea kuleta matatizo na kutoelewana miongoni mwetu katika nchi yetu iliyokuwa na amani Tanzania. Leo hii katika mjadala wa bajeti ya wizara...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
NGUVU YA UMMA YASHINDA UCHAGUZI CHUO KIKUU CHA RUCO Kwanza namshukuru MUNGU wa mbinguni kwa kuwa mwaminifu kwetu tangu wakati wa kuanza mchakato wa uchaguzi hadi kupatikana kwa ushindi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom