Kanuniya68
Senior Member
- May 26, 2013
- 157
- 44
Habari za kuaminika ni kwamba,ndugu john magale shibuda ni mkaazi wa NHC upanga kwa kipindi kirefu sana. Na mchango wake wa leo bungeni ulikuwa ukitazama 'maslahi' yake zaidi. Alitakiwa kudeclea interest ,lakini hakufanya hivyo.