CCM: Haya majina vipi? Tujisafishe!

CCM: Haya majina vipi? Tujisafishe!

Bill

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
10,698
Reaction score
11,818
Kila kukicha chama chetu kinabatizwa majina yenye sifa mbaya, lakini hatujisafishi, hivi kwa nini? Mfano, CCM23, WANG'OA KUCHA, MAGAMBA, MAFISADI, MABWEPANDE, WAZEE WA TAKRIMA, MAGAIDI, NK. Police nao wakiitwa POLICCM, Nape na kinana chukueni hatua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom