Tulibhalega
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 501
- 392
Katika ziara yake jijin mwanza, waziri Samwel Sitta kaongea na wanachuo wa saut kuhusu mambo mbalimbali ya kitaifa.
Binafsi, kanifurahisha kwa mambo yafuatayo;
1. Alisema serikali imezidisha usiri katika mikataba yake na wawekezaji hivyo kuibua matatizo meng (sio nukuu halisi)
2. Alisema hatagombea ubunge tena ila bado ananguvu kisiasa
3. Pia alisema wasomi wa vyuo vikuu wamekuwa watu wa kushabikia watawala ambao sio waadirifu wanaosaini mikataba mibovu na kusabisha migogoro na wananchi hivyo akaomba wasomi hawa wawe mfano kwa jamii katika masuala ya muhimu kitaifa kama haya ya kitaifa.
Ushauri wangu
Wasomi wa siku hizi hawafuatilii mambo kama haya hivyo inatakiwa wabadilike vinginevyo taifa tunalizika
Nomba kuwasilisha hoja yangu wanajamii