National Land Survey & Mapping Agency

National Land Survey & Mapping Agency

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Posts
4,694
Reaction score
793
Kuna mbunge amekuja na wazo zuri sana, kwamba ili kuweka taifa vizuri, tunahitaji wakala wa upimaji ramani na viwanja wa kitafia.

Mamlaka yake yaishie kupima up to Discrict level.


Aliyesema ni Mh. Masele, sijui Mbunge wa wapi.
 
ni wazo zuri sana.

inatakiwa ianzishwe agency yenye nguvu kama vile TANROADS ili iweze kutatua matatizo lukuki ya upimaji na usajiri wa viwanja hasa mijini. Pia kufufua beacon (trig points na BMs)


hata upande wa planning kunahitajika agency yenye nguvu, hawa maplanner waliopo hamna kitu na miji mingi inazidi kuharibika
 
wazo zuri litasaidia hata upimaji na upatikanaji wa viwanja kwa njia rahisi isiyo na ubabaishaji sio hii ya kupima viwanja kwa kubip 2500 na maombi 3,0000.
 
Angalia idadi ya Wachangiaji, ndio utajua composition ya waTanzania.
 
Kwa waliopata bahati ya kupima binafsi viwanja vyao, ndo watajua kuwa wazo hili ni zuri. Kwa kweli hali siyo nzuri kabisa, miji imeka vibaya, watu wanajenga, maeneo ya mjini kabisa hata upimaji hakuna. Ukiwapomba jamaa kupima eneo lako, utachukua hata miaka 3 mpaka kumaliza mchakato wote. Nilipima kaeneo kangu, tangu mwaka 2011, pamoja na "viwezesho" vyote kila hatua, last week ndo hati imetoka! Hili ni tatizo kwa kweli!
 
Back
Top Bottom