Chadema iwekeze kwenye Information Technology

Chadema iwekeze kwenye Information Technology

Mharakati Tanzania

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
100
Reaction score
12
Namna rahisi ya kuishinda CCM ni kupitia IT, CCM viongozi wake wengi ni wazee ambao hawawezi kutumia techonolojia ya kisasa.

NI muhimu viongozi wa CDM wakapewa mafunzo juu IT.

Matumizi ya simu za mikononi zimeshika kasi sana kipindi hiki. Huu upepo tuungane nao kufanikisha malengo ya CDM kushika dola.

Ahsanteni
 
ha ha aha haahaaaa unachekesha kweli mkuu....mmeishiwa mbinu za kisiasa mnaanza kuweweseka sasa
 
ccm itazidi kuwagonga sana tu, hadi mnanyanyue mikono. naona vijana wameenda kupata mafunzo ya kulisha watu sumu huko kambini dodoma
 
ndio mnavyodanganyana???? ccm ina wananchama wapenzi na mashabiki wa rika zote kwa taarifa yako
 
Namna rahisi ya kuishinda CCM ni kupitia IT, CCM viongozi wake wengi ni wazee ambao hawawezi kutumia techonolojia ya kisasa.

NI muhimu viongozi wa CDM wakapewa mafunzo juu IT.

Matumizi ya simu za mikononi zimeshika kasi sana kipindi hiki. Huu upepo tuungane nao kufanikisha malengo ya CDM kushika dola.

Ahsanteni
kwa hiyo wenye simu ni chadema peke yao??? unaota wewe
 
Wewe mwenyewe inaonekana IT imekupiga kikumbo maana hueleweki huko kwenye IT wawekeze kitu gani.
 
kumbuka hayo yote uliyoyasema yameingia hapa nchini chini ya utawala wa ccm, kwa hiyo make ur own mind kwamba aliyekuzaa ndio anayekujua wewe vzr na anajua zaidi yako
 
kumbuka hayo yote uliyoyasema yameingia hapa nchini chini ya utawala wa ccm, kwa hiyo make ur own mind kwamba aliyekuzaa ndio anayekujua wewe vzr na anajua zaidi yako

DUh I am missing the former JF, JF which used to have people of best minds, ideas,and issues sio haya mabongolala ya CCM ya book 7 yameharibu sana jukwaa modes angalieni wasijeshusha hadhi ya jamvi hili,wanaanzisha threads halafu wanajijubu wenyewe
 
its good idea, but you need to be more specific in which areas do you think ICT will improve daily activities of CDM? Explain tangible achievements if CDM will implement those ideas.
 
its good idea, but you need to be more specific in which areas do you think ICT will improve daily activities of CDM? Explain tangible achievements if CDM will implement those ideas.

Nimependa title ya mtoa mada ila sikupenda content yenyewe. Naamini mtoa mada ameshindwa kuelekeza fikra zake kwenye specific areas ambazo anadhani IT inaweza kusaidia chama. Ameshindwa kuelewa kwamba IT ni pana sana kulinganisha na kile ambacho amekifikiria.
 
Back
Top Bottom