Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 314
Tunatakiwa kuwa na mabadiliko ya kimfumo kabla ya vyama hili kuweza kusimamia serikali zetu vizuri,vinginevyo tutabadilisha sura za watu tu na mfumo utabaki uleule,tunatakiwa kuwa na mfumo unao dhibiti rushwa,upendeleo,NK.
Na hili si vyama ni la TAIFA kila chama kina matatizo sababu watanzania ni walewale tunatakiwa kuwa na mfumo MKALI unaolingana na AZIMIO LA ARUSHA wenye sheria kali zinazo tekelezwa,lakini hili ni tatizo kwa nchi nyingi za AFRIKA najaribu kuangalia mabadiliko vyama katika baadhi nchi lakini mwisho wa siku matatizo yanarudi kulekule.
Tunataka MTANZANIA ajaliwe kipindi chote sio kipindi cha kuomba kura natamani ningeona fedha tunazotumia katika kampeni tungezitumia katika miradi ya maendeleo kwa wananchi ALAFU WANANCHI WACHAGUE NANI KAWEZA SANA KWA MIRADI YA MAENDELEO KUPITIA KAMPENI sio lazima kampeni ztu ziwe kama nchi zilizoendelea.
CC.MIMI MWANAKIJIJI