Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
WanaJF Habar,
Kwa kweli hata CHADEMA Isipochukua nchi 2015 nitaumia sana ila naamini watakuwa hawajapoteza kwasababu;
1.Watanzania wamejitambua,
2.Viongoz wamejitambua
3.Watanzania wanaelewa uraia na haki zake,
4.Watu wanafahamu maana na faida za kudai haki zao bila uoga,
5.Rasilimasi zitasimamiwa vizuri,
6.Upinzani utakua mkubwa zaidi,na pia demokrasia itaongezeka. Bila kushabikia chama chochote naomba utoe msimamo wako kuhusu hali ya kisiasa nchini.
Naomba kuwasilisha;
*Larusai1-Kway.