Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo Asubuhi Kulukuwa na Kongamano la maelewano baina ya Dini zote zilizopo Lushoto na vyama vote vya sisasa vilivyopo Lushoto, Mkutano huo ulikuwa ukiendeshwa na Katibu Tarafa ya Lushoto na Mgeni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
​ IDADI YA MAWAZIRI Inapendekezwa Rais aunde Serikali ndogo iliyo na Mawaziri wasiozidi kumi na tano na mawaziri hao wasiwe wabunge. Mawaziri hawatahudhuria vikao vya Bunge isipokuwa...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Lula wa Ndali Mwananzela Toleo la 296 29 May 2013 WAKATI mwingine unafikiria vitu vimefika pabaya; halafu vinaharibika kabisa! Ni sawa sawa na uone gari lako linapasuka tairi na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Akichangia hivi sasa bungeni, mbunge wa jimbo la mchinga SAID MTANDA amesema kabla ya bajeti ya wizara ya elimu kupita, kwanza Bodi inayoshughulika na kuandaa mitihani ivunjwe na pia kamati ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Zikiwa zimepita siku 9 tangu Rais na katibu mkuu wa CDM Dr W P Slaa kuhutubia katika viwanja vya Mbulu Mjini katika jimbo la Mbulu linaloongozwa na CDM, hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeandaa...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Sijui sheria inasemaje kuhusu hili ila katika hali iliyowashangaza wengi kampeni za Udiwani kata ya Kimandolu ziligeuka mikutano ya kimila pale mgombea wa CCM Bi Edna alipoamua kuhutubia kwa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
TANZAMA PIA KIAMBATANISHO CHA MADAI HALISI YA WALIMU, (ATTACHED) HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHE. SUSAN ANSELM JEROME LYIMO (MB), KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA...
0 Reactions
10 Replies
18K Views
Kamanda hodari, msomi mzalendo mwana wa Tanzania Antipasi Tundu Lissu amejikuta akiundiwa zengwe la kutolewa bungeni ili tu asishiriki kwenye mchakato wa katiba. Maongezi ya muda mrefu kati ya...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa hili la katiba mpya Jk amethibitisha ujeshi wake kwa kusimama na matakwa ya wananchi kuliko kukumbatia itikadi za vyama vya siasa ambazo zimelitumbukiza taifa katika majanga mengi ya kutisha...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi kuhusu wakuu wa wilaya na mikoa wanapatikana vip?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaokwenda makanisani na kutoa pesa kwa ajili ya harambee na huku wakijinadi kwa urais 2015,nia yao hasa nini kutumia makanisa? Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
2K Views
*Ni kuhusu mauaji, Chadema, CCM vyashikana uchawi *Mpango wa Nchimbi na Kinana kukutana waandaliwa WAKATI Chadema wakikishutumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa inakihujumu, tuhuma nyingine nzito...
1 Reactions
184 Replies
14K Views
Ndugu wanaJF, Nimeipitia Rasimu ya Katiba mpya kwa haraka haraka na nikagundua kitu kimoja muhimu sana kinakosekana. Rasimu ya Katiba katika utangulizi wake imeshindwa kumtambua muumba wa ardhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wa jukwaa, kutokana na matatizo yanayoendelea ndani ya nchi yetu, mimi kwa maoni yangu naona bora katiba mpya izuie kabisa viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa au kushiriki mambo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tunaomba taarifa kama mabadiliko ya katiba yamegusa taratibu za uongoz na utawala ndan ya jeshi la polis. Mfumo wa kikolon bado unaendelea?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Warioba angeweka gesi, viazi, mbuga za wanyama, makaa ya mawe na mengineyo kwenye mambo ya muungano naona lingemsumbua kidogo hili. Rasimu ya Katiba mpya inapendekeza uundwaji wa Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, amesema ikibidi Bunge livunjike au wabunge wa chama hicho wafukuzwe bungeni, lakini hawako tayari kuzibwa mdomo kuzungumzia masuala yanayohusu maisha ya...
9 Reactions
201 Replies
13K Views
Now work Hard and grab a bite!!! something we should atleast be proud of!! Critics this is at your disposal..
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Warioba na Tume yake Kiboko
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…