N Nikukumbushe JF-Expert Member Joined Jun 4, 2013 Posts 2,602 Reaction score 409 Jun 4, 2013 #1 Wanaokwenda makanisani na kutoa pesa kwa ajili ya harambee na huku wakijinadi kwa urais 2015,nia yao hasa nini kutumia makanisa? Nawasilisha
Wanaokwenda makanisani na kutoa pesa kwa ajili ya harambee na huku wakijinadi kwa urais 2015,nia yao hasa nini kutumia makanisa? Nawasilisha