Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasikitisha kuona baadhi ya watanzania kwa maslahi yao binafsi hasa utashi wa vyama vya siasa wanajaribu kupotasha uma wa watanzania.Hoja yakudai kwamba Mh raisi ni mbinafsi eti kisa kujengwa...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
86.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla … Hakuna haja ya kuwa na makamu wa rais ni kuongeza gharama tu na...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa upande wangu nina wasiwasi mkubwa juu ya kuwepo uchaguzi mkuu 2015.kwa sababu zifuatazo: 1.mchakato wa katiba mpya bado na nchi haiwezi kuingia ktk uchaguzi bila katiba. 2.Kama tutafanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Hivi kweli hii rasimu ya katiba mpya inaendana na thamani ya fedha (value for money ) iliyotumika na tume ya Warioba? Mliomsikiliza jana alisema ni kiasi gani tume imetumia hadi sasa? Je rasimu...
10 Reactions
61 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi moto umewaka sasa kutokana na Rasimu ya katiba. Nimesoma apendekezo ya Rasimu ya katiba ni nzuri ila kuna jambo oja naona hakija kaa vizuri nayo la majina ya nchi washirika...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Bibi Suzan Lyimo(Mb)-CHADEMA amesema kuwa CCM inategemea ubovu wa elimu kwa wananchi wake na hivyo kuporomoshwa kwa kiwango cha elimu nchini Tanzania...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonyesha uwezo mdogo katika ufanyaji wa kampeni na ukosefu wa utashi wa kisheria kwa baadhi ya watendaji wa serikali ya CCM, Mhe. Philip Mulugo, Naibu waziri wa elimu na Mafunzo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa upande wangu nina wasiwasi mkubwa juu ya kuwepo uchaguzi mkuu 2015. Kwa sababu zifuatazo: 1.Mchakato wa katiba mpya bado na nchi haiwezi kuingia katika uchaguzi bila katiba. 2.Kama...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Haya mambo mkanyago, kuna mambo nyerere aliyachanganya kila cha tanganyika kukifanya cha tanzania, sasa Tanganyika inarudi, itakuwaje mambo haya. Wimbo wa taifa wa tanzania ndio wimbo wa taifa wa...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Chama cha ccm baada yakuona hali ni mbaya yakutoudhuriwa na watu wameona wasemekuwa wanaenda kwenye msiba naona wameona hali ni mbaya kwa upande wao nibora wamejua mapema arusha hawana lao chadema...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna taarifa zinasambaa kuwa kuna mpango wa serikali kupeleka bungeni muswada wa mabadiliko ya uchaguzi mwaka 2015. Kama muswada huo kweli upo na kama ukipitishwa na Bunge kuwa sheria basi...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Mikoa mingine inakuwa ya hovyo kwa sababu serikali ya nchi hii inaendeshwa ka mtukio na habari za vijiweni.Sababu nyingine inayowanyima jitetea angalau kupunguza madhara ya udhaifu wa serikali ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Hili la mahakama ya kadhi limekaaje mbona tulihamasishana sana lakini kwenye rasimu ya katiba limekwepwa
1 Reactions
112 Replies
8K Views
Vijana kwa mapepe yao walikuwa na bashasha nyingi kuhusu kupunguzwa kwa umri wa kugombea urais lakini kwa rasimu hii ambayo ni dira ya katiba yetu, ni dhahiri kwamba ndoto zao za kuukwaa urais...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Habari zenu wana jamvi, kwa wakati mwingine ningependa nilete kwenu na suala hili. Katika jimbo la Tarime kuna shule moja ambayo ipo takriban kilometa nne kutoka mjini kati na ipo jirani na...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
.Joseph Mbilinyi akiwa Jimboni kwake kata ya IYELA kwenye Uchaguzi...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu, Leo nimeona ni vyema nami nikatumia fursa hadhimu iliyopo wakati huu, kutoa maoni ya nini kiwemo katika katiba mpya. Mchango wangu mfupi, nilioutuma katika Tume husika si vibaya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Malawi government has protested against plans by Tanzania to deploy two passenger vessels on Lake Malawi (known in Tanzania as Lake Nyasa) . In a formal protest letter to Tanzania against the...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, Nadhani bila shaka mwaka 2016 kutakuwa na Wabunge wengi sana pale Mjengoni watakao ingia kwa tiketi hii ya " Mgombea Binafsi " bila shakaaaa ! Wale wooote watakaozinguliwa na ile...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemnadi Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba kugombea kwa mara nyingine kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao wa...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…