Katika Rasimu ya Katiba iliyozinduliwa Juni 03, 2013 Karimjee, Ibara ya kwanza inautangaza Muungano wa Tanzania kuwa Shirikisho la nchi mbili zilizo na mamlaka zake; ambazo moja ina katiba yake na...
SERIKALI imesema hakuna kipengele chochote katika Rasimu ya Katiba kitakachochelewesha ama kuzuia uchaguzi mkuu wa wabunge na rais mwaka 2015.
Hayo yalibainishwa jana na Mwanasheria Mkuu wa...
Adai itachukua muda sana kupata sura ya kitaifa,aeleza njia za kunusuru nchi na tatizo la udini,asema ufisadi ni adui kuliko ujinga.
"CUF si chama cha kitaifa hata kidogo,hiki ni chama chama...
Rasimu ya katiba inasema:
Kuhusu Bunge kutakuwa na wabunge wa aina mbili. Kutakuwa na Wabunge wa kuchaguliwa na wabunge watano wa kuteuliwa na Rais kuwakilisha Watu wenye Ulemavu.
Tume...
Mchakato wa kuandika Katiba Mpya umepamba moto, huku Tume ikielekea kwenye hatua ya Mabaraza ya Katiba, baadhi wadau wakidai mabaraza hayo yana kasoro, yamechaguliwa kiitikadi.
Hivi karibuni...
Hii ni kwa mujibu wa Ibara ya 180 (4) ambayo inasema kwa sehemu kama ifuatavyo: "...kila mpiga kura ana haki ya kufungua shauri Mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi isipokuwa matokeo ya uchaguzi...
Kwa mtu yeyote mwenye busara huwa anatafakari kwa kina kabla ya kufanya maamuzi au kuana kutekeleza jambo lolote, Busara za mtu hazipimwi kwa utajiri wa mtu wala elimu ya mtu! Taifa letu linapita...
Ni karibu wiki sasa inaisha huyu Waziri alitoa Rushwa kata ya Mbalamaziwa mkoa wa Iringa , pasipo yeye kujua alirecodiwa na Mzalendo mmoja, CD tayari zimepelekwa kwa msimamizi wa uchaguzi na...
KWAMBA, Katiba ya Tanganyika itawezaje
kutengenezwa ndani ya mwaka mmoja (1) mara
baada ya Katiba ya Shirikisho itakayoainisha uwepo
wa serikali tatu (3) kupitishwa 26 Aprili, 2014 halafu...
jamani leo nilikuwa nachek updates za safari za rais wetu nikaona kuwa amefikisha safari 350 kiukweli huko ni kwenda tu, kwa hyo kwenda na kurudi ni safari 700 hizo ni siku 700 almost 2 years za...
Moja- Wabunge wanawake na wanaume jimbo moja halikubaliki ni gharama kubwa sana kwa walipa kodi
Mbili- Serikali Tatu ni mzigo mkubwa kwa taifa masikini kama Tanzania
Tatu- Muundo wa serikali ya...
Wadau hadi leo tar.6 june watumishi wilaya ya magu,mwanza hatujadaka haki yetu ya mwezi baada ya kusota siku 30 za mwajiri.Kibaya zaidi hatujaelezwa tatizo ni nini.Kweli huu ni uungwana kwa...
Posted in Tanzania 5 Jun 2013
African Union, Civic United Front (CUF), Ibrahim Lipumba, kikwete.
MOSES MATTHEW
Civic United Front (CUF) has strongly appealed for unity among Tanzanians...
Maalim seif sharif HAMAD AIBU TUPU KTK MKUTANO WA KAMPENI KATA YA ELERAI BAADA YA KUDANGANYWA NA JOHN BAYO MGOMBEA UDIWANI KUWA ANAKUBALIKA MATOKEO YAKE NI AIBU KWA MAKAMU WA RAIS NA MSAFARA WAKE...
Sitawaelewa TCU kwa kuruhusu Chuo Kikuu cha Kiislam pale Morogoro kudahili waislamu tu! Vyuo vikuu vyote vinaratibiwa na TCU, yaani kwa ubora wa waalimu, wanafunzi wanaodahiliwa, pamoja na ubora...
Wana JF sijaona faida ya huu muungano na hawa wanzazibar zaidi ya kutumia rasilimali zetu watanganyika kuendesha serikali ya zanzibar na Jamhuri ya Muungano.. na hii rasimu inazungumzia serikali...
Kama Tume yako imeandaa Rasimu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wenye kujumuisha zilizokuwa nchi huru,tena Jamhuri, za Tanganyika na Zanzibar,iweje sisi tuitwe Tanzania Bara na wenzetu wabakie...
Wakati wenzetu wakenya wakianza kukabidhi laptop kwa wanzafunzi, Mbunge wa CCM, Eugine Mwaiposa anadai watoto wamefeli kwa sababu ya kutumia internet! Hivi, kule Ileje, Nkasi, Nanyumbu n.k kumejaa...