Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana na Rasimu ya katiba mpya kupendekeza muungano wa serikali tatu yaani Serikali ya Tanzania bara, Serikali ya mapinduzi ya Zanzibari na Serikali ya shirikisho ( MUUNGANO). Kama kweli...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanasiasa wanne kortini kwa uchochezi wa gesi Mtwara By Mwandishi wetu 6th June 2013 Hassani Uledi (35), Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mtwara Mjini...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonekana ni udhaifu wa watendaji wa wateule wa Mh. Rais Jakaya Kikwete Mh Novatus Makunga dc wa Hai amelalamikiwa na wananchi wa kwa kushindwa kutatua migogoro ya vijiji na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni huzuni, Nimajonzi na Simanzi hapa Wilayani Lushoto, Baada ya kada mashuri na Mwenyekiti wa Baraza la Akina Mama kufariki Dunia jana usiku katika Hospitali ya Bombo Mkoani Tanga. Marehemu...
1 Reactions
64 Replies
8K Views
Spika makinda amewashangaa Komba na Mwigulu ambao ni wahesihimiwa wabunge, Wameandika majina yao wenyewe badala ya kuweka tick, wameweka tick na majina yao. My take: hawa ndio CCM makini wanao...
1 Reactions
74 Replies
6K Views
Maoni yangu kama ningekuwa karibu na warioba. Naunga mkono serikali tatu ila kuwe na raisi mmoja wa jamhuri wa muungano, kuwe na waziri mkuu wa tz bara na waziri mkuu wa zenji. Raisi wa muungano...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimemwona katika luninga, ITV , na kumsoma vizuri Katibu Mkuu wa CCM, juu ya rasimu mpya ya katiba na msimamo wake kichama. Naona Kinana anajaribu kutembea katika mto wenye mawe ya utelezi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Akichangia bungeni leo, Joseph Selasini anasikitika jinsi fedha inavyotumika vibaya katika halmashauri mbalimbali hapa nchini. Hv rim ya karatasi A4 inanunuliwa kwa 40,000? ni halali? mbona...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hammad amekirushia kombora Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kile alichodai kinapoteza mwelekeo kutokana na fujo nyingi...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
muda huu wakati anachangia kupitisha bajeti ya fedha amemsifu wazir MGIMWA na kuomba mawazir wengine kumuiga. je? hajavunja amri ya MH ZITO KABWE ya kuisifu serikali
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Mwandishi Wetu Toleo la 297 5 Jun 2013 Ni pamoja na kutoishi jimboni, kutohudhuria vikao vya Bunge KAMA rasimu ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wabunge wetu katika bunge la Tanzania tujifunze kujieleza kwa kiingereza maana inatisha na kutia kinyaa. Leo kuna wabunge kadhaa pamoja na madam speaker wamekua wakijikoroga kujieleza kwa kimombo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani, kimewasimamisha uongozi viongozi wake kadhaa wa Wilaya ya Bagamoyo, kutokana na madai ya kuuza kwa mwekezaji eneo linalosemekana kuwa ni mali ya chama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mh.Mwigulu Nchemba akipokewa na wanachama wa CCM waliojitokeza viwanja vya Shule ya Msingi Erelai kata ya Erelai mkoani Arushahii leo wakati wa kampeni za kumnadi Mgombea Udiwi kwa tiketiYA CCM...
1 Reactions
95 Replies
11K Views
Nakumbuka wabunge wa CHADEMA wa Ukerewe, Salvatory Machamli na wa Ilemela Highnes Kiwia walijeruhiwa vibaya mwaka jana nusu ya kuuawa na vijana wa CCM kwakua ilikua ktk kipindi cha uchaguzi mdogo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi, Mbunge wa jimbo la Rorya mh.Lameck Airo ni miongoni mwa wale waheshimiwa ambao ni nadra sana kusikia michango yao bungeni, haya ni mapungufu yake. Nimesikitika kusoma habari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Gazeti la nipashe la tar 7 june, 2013 limemnukuu mbunge wa Mbozi magharibi bungeni, na haya ni maneno yake 'Zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya taifa limekuwa likiendelea lakini hadi sasa...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Nimeipitia rasimu ya Katiba mpya iliyosomwa na Warioba na nimeshangaa kuona kwamba inapendekeza Rushwa na Ufisadi vishughulikiwe na Polisi. Warioba alikuwa mwenyekiti wa tume iliyoitwa kwa jina...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Huwezi kuamini, lakini ndivyo ilivyo. Nimedokezwa Jana mkazi wa Nyamongo Tarime mkoani Mara, CHACHA KIGUHA BABERE aliupandisha mahakamani kwa mara ya kwanza uongozi wa mgodi wa Afrikan Barrick...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Lowassa: Serikali iwawezeshe wanawake kiuchumi Dodoma. Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, amesema kuna haja kwa taifa kuwawezesha wanawake kiuchumi kwa kuzingatia mchango wao mkubwa katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…