Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Wapemba wa kariakoo watapata shida sana sababu ya...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Kamili! Sio siri tena kuwa tangu jaji warioba aweke hadharini mwelekeo wa mawazo ya wananchi kwenye rasimu ya katiba mpya, CCM wameanza kuishiwa nguvu taratiiiiibu! UTHIBITISHO: 1.tafakari...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Mengine yote ambayo yako kwenye rasimu ya katiba yanaweza kamilika mapema lakini swala la Muungano litatuchelewesha sana.Serikali 3 hazitakuwa na tija hakika. Serikali ya Zanzibar itapokuwa nchi...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Hapa hali ni mbaya maana kaja alemde na devutwa ndiyo wageni rasmi hawana jipya full kubogi ccm arusha awana lao
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwekezaji wa kampuni moja inayochimba dhahabu katika kijiji cha Uleling'ombe wilayani Kilosa anadaiwa kuwafunga jela wanachi 15 wa kijiji hicho kwa madai kuwa wamemuibia madini yake.Hata hivyo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna watu wanapinga serekali 3 kwa kisingizio cha gharama nawauliza swali vipi hawahoji gharama za mikoa na wilaya zinazo ongezeka?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CCM waja juu Mbeya na Christopher Nyenyembe VIONGOZI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) jana waliibuka kutoka mafichoni na kudai kuwa kambi iliyowekwa kwa ajili ya kuwafua vijana wao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania au Tanganyika lakini kwa sasa tujitambue kuwa tuna wajibu wa kuandaa mstakabali mwema kwa vizazi vijavyo. Wenzetu wanaweza kuweka akiba mfano ya mafuta au chakula cha kutosha miaka kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Nimekuwa nikisafiri na waandishi wa habari mara nyingi na kuwalipa, taarifa wanazotoa ni zile zinazo wafurahisha waajiri wao, leo hata nikiwa baharini taarifa zangu zinapatikana. Siitofautishi na...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu wanaJF.. Natumia jukwaa hili kuwaasa mawaziri na vigogo wengne serikalini kuacha kuwatumia Taifa Starz na Wasanii kwenye biashara yao ya kusafirisha dawa za kulevya. Wanatumia fursa ya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Angalia ITV live muda huu ili ufuatilie mjadala huu. Mgeni alieoko studio ni mjumbe wa tume.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inanisikitisha sana na inaumiza ninaposoma habari kwamba kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanaoishi mahotelini kwa sababu ya kukosa makazi. Uongozi wa Mwl Nyerere kwa makusudi kabisa ulijenga...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
By Charles Onyango-Obbo Posted Friday, June 7 2013 at 19:54 As far as the East African, and indeed African, diplomacy show goes, Tanzania right now is that girl on the dance floor that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wana JF, Kwanza namshukuru Mungu kwa kutupa fursa ya kuishi tena (2nd chance) mimi na mdogo wangu. Mungu yu mwema kwetu. Katika ajali hii, huwezi kutarajia kuwa tumetoka tukiwa hai na...
124 Reactions
309 Replies
23K Views
Hizi ni baadhi ya kero. 1.Tarafa nzima Ambulance moja ambayo huwa mamba. 2.Maji hakuna mfano eneo la Majimoto watu wanakunywa maji ya moto yatokanayo na chemchem. 3.Barabara hakuna. Hata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahisi ni wakti muafaka kwa wadau wa mkoa wa Iringa kukaa chini na kuona haja ya kumega wilaya ya iringa vijijini na kuanzisha wilaya mpya ya isimani ambayo makao yake makuu yanaweza kuwa isimani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Vipeperushi hivi vimesambazwa kwa kasi jana katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar vikiwa na ujumbe unaowataka Wapemba waondoke Unguja na kurudi kwao Pemba wakajipange huko kuukataa Muungano...
4 Reactions
178 Replies
19K Views
Kama katiba mpya itakuja na serikali tatu, hakika Chadema lazima iingie ikulu kati ya kinyang'anyiro kimojawapo cha urais wa bara/au muungano,kwani chadema watasimamisha mgombea kwa ajili ya...
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Ofisa huyu wa juu wa Polisi alisimamishwa kazi kwa kupewa likizo ya mwezi mmoja kusubiri maamuzi ya Mh. Rais. kuna mwenye taarifa za maamuzi yaliyotolewa? au mwezi mmoja haujesha?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sunday, June 9, 2013 KATIKA hali isiyo ya kawaida na inayoashiria uzembe katika ulinzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, juzi kijana mmoja mkazi wa eneo la Phillips katika Kata ya Sekei jijini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…