My Apology to JamiiForums, by Chris Lukosi


Status
Not open for further replies.
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Tanzanite Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
4,586
Likes
35
Points
145
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Tanzanite Member
Joined Aug 23, 2012
4,586 35 145
Ndugu zanguni,

Kwanza kabisa napenda kumtakia Maxence Melo afya njema na namuombea Mungu amponye haraka majeraha aliyopata kwenye ajali ya gari.

Kama mjuavyo hakuna binadamu alie sawa asilimia mia hapa duniani.
Kila mtu ana mampungufu yake na mimi pia nina mapungufu yangu.

Kwa namna moja au nyingine, Jana niliwakwaza Wamiliki wa JF hapa na baadhi ya members hapa jukwaani.

Tunajua kuwa kila mtanzania ana haki ya kuongea atakacho lakini cha muhimu ni kuzingatia kuwa huwaharibii siku wenzako au kwa lugha nyingine usiwakwaze wengine.

JF ni jukwaa huru pekee Tanzania ambalo linatumiwa na watu wa kila aina hapa kuanzia mawaziri mpaka wakulima vijijini wenye access kwenye mtandao.

Ndugu zanguni, tukae tukijua kuwa kila tunachoandiaka hapa kinabaki hapa na kinasomwa na wengi na kila mtu anakipokea kivyake. Jf wametupatia jukwaa la siasa ili wanasiasa na wengineo tuweze kulitumia kukosoana na kupeana za uso ikibidi, lakini mimi binafsi niliteleza kidogo na kuwahusisha JF kwenye siasa.

Nilifanya kosa kuwatuhumu JF kuwa wanatumiwa na Dr Slaa na Freeman kushinikiza nipigwe ban lakini leo nimegundua ni kauli yangu mwenyewe iliyosababisha ban kwani ni hawa hawa JF walioniruhusu nitumie jukwaa kuwarushia madongo ya uso Dr Slaa na Freeman bila kujali kuwa nao watakuwa na feelings kuwa mimi napendelewa hapa JF kwa kuwa nimeachiwa niwapige madongo ya ukweli. Bila kusahau jamaa yangu Lema.

Nimejifunza kitu kimoja.

JF ni kama mpira, kila mtu anaona ameonewa, na pia ni kama centre ya mizani ambapo wapinzani huzani mzani unapendelea uzito wa upande mwingine.

Nawashauri verified user wenzangu tujibishane kwa kuzingatia hoja na tuachane na siasa za majitaka.
Pia nawashauri kama mnaona mmeonewa au hamjui sheria za JF basi muingie hapa(LINK 1 - JamiiForums Rules na LINK 2 Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF? )

Nawaomba radhi Mods na wamiliki wa JF kwa kuwakwaza

Na pia nawaomba members wenzangu wote radhi kama nimewakwaza, WENGI MNAJUA MIMI NI MHEHE HIVYO SOMETIMES HUWA NASHINDWA KUJIZUIA, ukileta za kuleta nakupa za uso mwisho wake wote tunakuwa kama wasyria tu. na ninawashauri tusitumie jazba kwenye mahojiano tunapochangia hoja, matusi hayajengi bali yanleta chuki tu na nadhani members wenzangu pia watajitambua kama mimi.


JITAMBUE!
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,374
Likes
6,403
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,374 6,403 280
Ganda la Muwa la jana Chungu kaona Kivuno.
 
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Tanzanite Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
4,586
Likes
35
Points
145
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Tanzanite Member
Joined Aug 23, 2012
4,586 35 145
Ndo ulivyo na hutobadilika, njano haiwezi kuwa nyekundu
Sasa mkuu nimeomba msamaha bado unakataa ,
Kweli tutafika? nyie ndio kama wale wa syria, hamtaki suluhu mnataka kuuana tu.
Maisha ni kusameheana, mtu akikubali kosa unamsamehe lkaa sivyo utanyonga wote ubaki peke yako duniani kama shetani tu
 
Prisoner 46664

Prisoner 46664

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2010
Messages
1,952
Likes
46
Points
145
Prisoner 46664

Prisoner 46664

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2010
1,952 46 145
Umekuwa kama mtu aliyetolewa pepo wachafu hivi..unaomba msamaha kwa nguvu kama vile akili haikuwa yako wakati huo..
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,944
Likes
944
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,944 944 280
Unakaribishwa kwa moyo mweupe na roho ya ridhaa, Mie binafsi sina soneneko. Mkuu unakubalika kwa ushujaa wako.
Good luck ...
 
B

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Messages
348
Likes
5
Points
0
B

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2013
348 5 0
Dah jamaa anajpgia promo, kwanza cjui ni nan katka nin? Mlamba viatu na mpga debe wa familia ya mfalme unayesubir huruma ya wanaccm wachache wanaoifaid nchi waishio masaki. Utakufa vbaya acha ukondakta wenzako wanakung'ong'a.
 
bht

bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,339
Likes
222
Points
160
bht

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,339 222 160
my apologise....
Kwa hiyo wewe hufanya siasa za majitaka kwa makusudi? Yaani huu ni 'umbuni' kweli kweli.

Halafu acha upuuzi wa kuusingizita 'uhehe' wako pindi unashindwa kuJidhibiti.
 
S2dak_Jr

S2dak_Jr

Senior Member
Joined
Jul 15, 2012
Messages
198
Likes
0
Points
0
S2dak_Jr

S2dak_Jr

Senior Member
Joined Jul 15, 2012
198 0 0
Sasa mkuu nimeomba msamaha bado unakataa ,
Kweli tutafika? nyie ndio kama wale wa syria, hamtaki suluhu mnataka kuuana tu.
Maisha ni kusameheana, mtu akikubali kosa unamsamehe lkaa sivyo utanyonga wote ubaki peke yako duniani kama shetani tu
Sijaona msamaha ulioomba hapa zaidi ya kuendeleza makorokocho yako.

Siku zako zinahesabika ndani ya CCM, waulize wenzako.
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,281
Likes
5,272
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,281 5,272 280
Khaa!! JIUZULU!!
 
E

Eunda

Member
Joined
May 2, 2008
Messages
61
Likes
0
Points
13
E

Eunda

Member
Joined May 2, 2008
61 0 13
Unaomba msamaha na ndani yake unapiga majungu yasiyokuwa na tija kwa kuongea mambo ya kinafiki. Kitendo hicho si cha kiungwana bali unadhihirisha ni jinsi gani unavyotumika pasipo kushughulisha akili yako.
 
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
21,536
Likes
18,208
Points
280
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
21,536 18,208 280
Wewe siasa zimekuchanganya sio bure.!

Njoo sasa ujifunze siasa za majukwaani, sio kila siku mitandaoni.!!
 
J

jeneneke

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
754
Likes
24
Points
35
J

jeneneke

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2012
754 24 35
hizo sentence tatu za mwisho zinaonyesha wazi kwamba wala hukuwa na nia ya kuomba msamaha bali kujionyesha who you are.Kuna sig humu inasema"ficha upumbavu wako"am not a politician ila umenikera ulivyoandika
 
Remmy

Remmy

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2009
Messages
4,714
Likes
166
Points
160
Remmy

Remmy

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2009
4,714 166 160
makubwaaaaa


muhehe na siasa za maji taka...

vipi umeumizwaaaa na ccm nini...

ulifikiri utalipwaaaa

heheheeeeee...wenzio wanagonga na kudansi hao unaowafanyia maji taka..


sisi wa chini ndio tutaishia kuwa maadui tu, wao akhaaaa......wako round table wana gonga glasi


chezea siasa za bongo wewe.
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,274,093
Members 490,586
Posts 30,500,767