Nini kinaendelea Bodi ya Ugavi na Manunuzi? (PSPTB)

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
Ni miezi takribani miwili sasa toka
ifanyike mitihani ya CPSP, November 12 mpaka november 16. Kwa kawaida
matokeo hupishana na yale ya CPA kwa wiki moja, kama tunavyopishana katika kufanya mitihani. Ila cha kushangaza matokeo hawayatoi na hakuna taharifa yoyote juu ya dansi wanazozicheza.
Kinachogomba hapa ni namna
wanavyoshindwa kuelewa athari za
kuchelewesha matokeo (sijui kama ni
makusudi ama laa). Hawatoi matokeo
wakati wanajua ili kwenda stage
zinazofuatia lazima uone matokeo ili ufanye usajiri, ulipe ada na
kuhudhuria review classess.

My take; Inasemekana siasa na kuhujumiana zimeingia pale na ndiyo chanzo cha matatizo yote haya.

Mods naomba msiihamishe hii, nadhani hapa ni rahisi kupata majibu ya kinachoendelea bodi na wizarani pia.

Asanten!!!
 
hata mie sielewi toka november watu wamefanya mitihani lakini hakuna hata tangazo la kuwajulisha watahiniwa nini kinaendelea matokeo yatatoka lini ..?
hii nchi kila sekta ni tatizo halafu ndio wanategemea kupata watalaamu .. wazuri
 
mmefeli sana. tunaona aibu kuyatangaza. tutaunda tume kuwachunguza watainiwa wote kwanza ndo tutoe majibu
 
hakuna logic y0y0te kati ya watahiniwa kufeli nakuchelewa kut0a mat0ke0,mat0ke0 ni haki ya mcngi kwa mtahiniwa!
 
Ni miezi takribani miwili sasa toka
ifanyike mitihani ya CPSP, November 12 mpaka november 16. Kwa kawaida
matokeo hupishana na yale ya CPA kwa wiki moja, kama tunavyopishana katika kufanya mitihani. Ila cha kushangaza matokeo hawayatoi na hakuna taharifa yoyote juu ya dansi wanazozicheza.
Kinachogomba hapa ni namna
wanavyoshindwa kuelewa athari za
kuchelewesha matokeo (sijui kama ni
makusudi ama laa). Hawatoi matokeo
wakati wanajua ili kwenda stage
zinazofuatia lazima uone matokeo ili ufanye usajiri, ulipe ada na
kuhudhuria review classess.

My take; Inasemekana siasa na kuhujumiana zimeingia pale na ndiyo chanzo cha matatizo yote haya.

Mods naomba msiihamishe hii, nadhani hapa ni rahisi kupata majibu ya kinachoendelea bodi na wizarani pia.

Asanten!!!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-2012-yale-yaliyochelewa-kutoka-yametoka.html
 
Back
Top Bottom