Chadema chukueni kata ya makuyuni monduli,ccm imewasaliti wamasai

kibaya-kenya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
649
165
Ukweli ni kwamba makuyuni ni vita kati ya wanyonge na magenge ya wahuni na wauaji wanaongozwa na ccm huku taswira halisi ya LOWASSA, ikifahamika wazi kwamba ni mtu mfitini, mnafiki mroho wa madaraka na asiye hitaji kabisa wasomi,wafanyakazi wengi wazawa wa monduli wote walioko ccm ni kama wamesoma sana ni darasa la saba hata kuna wengine lowassa mwenyewe amewawezeshe kununua au kufoji vyeti vyeki.
Hapo makuyuni watu walimchagua mtua wao lowassa kwa utashi wake akampitisha mtu ambao kusoma kwake kitabu cha hadithi darasa la tatu ni kwa taabu mtu asiye jua kuhoji chochote juu ya mahitaji ya wananchi na namna ya kuwatetea huyu ndio chagua la huyu mwizi wa mali za umma, miradi yote na tenda za serikali hapo monduli zinashikiliwa na ndugu zake tena wa karibu,yeye kazi kubwa anaofanya ni kuwahonga wamasai pombe na nyama za pori kwa kuwawindia na kuwaita kuwa pumbaza huku rasmali za monduli yeye ndio akiwa ndio kila kitu maana pale makuyuni amemkataa Sironga kwa sababu ni msomi na ana uwezo wa kuhoji, sasa kuanzia jana polisi wamepelekwa makuyuni kuwatisha wanachama wa CDM pamoja na kuwapeleka wazee kuwa laani vijana wasipigie kura CDM,kweli LOWASSA ni hatari kwa maisha ya watu wa monduli yeye ana waeleza watu kuwa hakuna zaidi yake monduli jambo lolote hadi amue mwenyewe.
Wanamakuyuni naomba SANA juma pili ya kesho kutwa tukalinde kura zetu maana imetosha lowassa kutuburuza na kutuona sisi ni makatuni na misuli ya kujipatia umaarufu wa kufoji KWAMBA ETI NI CHAGUO LA MONDULI, huku uoga ikisambazwa na wana ccm ili CDM isipite maana watu wa monduli wamesha jua udhalimu wa lowassa.
NAOMBA WATZ POPOTE MLIKO TUSHIRIKANE KUITOKOMEZA CCM
 
Nna ndugu yangu makuyuni anasema mgombea wa chadema ni noumer.wanamuita Lema wa pili
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom