CHADEMA na CCM igeni haya CUF

CHADEMA na CCM igeni haya CUF

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
CHAMA CHA CUF kimeprove kuwa chama kilichokomaa na kisichobebwa na mtu bali sera zake
1. Mwanachama yoyote anaeenda kinyume na katiba ya chama anafukuzwa maramoja bila kubembelezwa
2. Akiwa kiongozi vilevile akieennda kinyume na katiba anafukuzwa angalia hamadi rashidi, mwasisi james mapalala na wengine wengi
3. Ufisadi mwiko
4. Kuropoka nje yani kwneye vyombo vya habari mambo ambayo yalipaswa useme kikaon
nisababu tosha ya kuwa muhaini wa chama na waweza kufukuzwa.

My take: CHADEMA wamekuwa wanfukuza vidagaa lakini wapo MAPAPA aambao wanaweza kumpinga katibu mkuu,au mwenyekiti lakini kutokana na umaarufu wa viongozi hao wanawaogopa na kushindwa kuchukua maamuzi magumu wamebaki kuwaita MASALIA this is weakness.

CCM wamesshindwa kuwavua gamba baadhi ya viongozi waliotuhumiwa katika ufisadi mfano ni CHENGE NA LOWASA walimwambia mwenyekiti ukimwaga ugali tunamwaga mboga na sula LA KUJIVUA GAMBA LIKAFA.

HIVYO TUIGE MFANO TOKA CUF HAKUNA UMAARUFU AU KUJULIKANA YOYOTE ANAWEZA FUKUZWA AKIENDA KINYUME NA SERA ZA CHAMA.
 
Wacheki kuna shibuda chenge lowasa rostam zito nani wa kuwagusa lakini angalia majina makubwa hamadi rashidi na genge lake,mapalala na wengine wengi je huu si mfano tosha
 
Shbuda anawawezea sn o mm posho sichukui jammaa anaomba iongozwe
 
Mimi sioni tofauti ya viongozi wa ccm na cdm wanafanana kwa kila hali.heri ssm kuna demokrasi lakini cdm imekuwa chama cha familia.cdm mkitaka kuwa chama acheni kuchukua makapi ya ccm.tengenezeni viongozi wenu.hao wamekuja kwenye ulaji tu baada ya kutemwa na ccm .ndio maana wengine wanawapa masharti ili kulinda ulaji wao.tegeemeeni kupokea makapi zaidi 2015.chama kinaanza kumezwa na fikra za ccm.
 
minadhani hujaielewa mada. soma vzr punguza jazba pengine utaelewa

Mada yenyewe imekaa kilevi levi sana, hivi huoni utumbo anao fanya maalim kule zanzibar? Je hayo ndo chama mmemtuma, kuna akili kweli, anapinga muungano anataka zanzibar ijitegemee alafu akimaliza mkutano anaenda nchi ya tanganyika kumpigia debe la udiwani mtanganyika, haya ni matope.
Na huyu mzee wa uchumi pale msikitini akiongea ule utumbo je kilikuwa ni kikao cha chama?
TOA KWANZA BORITI KATIKA JICHO LAKO . . . . . . . . . . . . . . . . . .
 
i
mada yako imekaa kilevi levi sana, hivi huoni utumbo anao fanya maalim kule zanzibar? Je hayo ndo chama mmemtuma, kuna akili kweli, anapinga muungano anataka zanzibar ijitegemee alafu akimaliza mkutano anaenda nchi ya tanganyika kumpigia debe la udiwani mtanganyika, haya ni matope.
Na huyu mzee wa uchumi pale msikitini akiongea ule utumbo je kilikuwa ni kikao cha chama?
Toa kwanza boriti katika jicho lako . . . . . . . . . . . . . . . . . .
mkuu mbn ujajibu umekimbilia kwenye defensive weakeass haijibiwi na wekness ya mtu mwingine
 
CHADEMA na CcM wakiiga ya CUF hawatabaki kuitwa CHADEMA wala CcM bali CUF...
Hawawezi kufanana kila mbinu la sivyo muigaji atakuwa hafikirii!
Acha kila mtu afanye aonevyo ni vyema UMMA utaamua
 
Mimi sioni tofauti ya viongozi wa ccm na cdm wanafanana kwa kila hali.heri ssm kuna demokrasi lakini cdm imekuwa chama cha familia.cdm mkitaka kuwa chama acheni kuchukua makapi ya ccm.tengenezeni viongozi wenu.hao wamekuja kwenye ulaji tu baada ya kutemwa na ccm .ndio maana wengine wanawapa masharti ili kulinda ulaji wao.tegeemeeni kupokea makapi zaidi 2015.chama kinaanza kumezwa na fikra za ccm.

WASSIRA ni kapi siyo kapi?!
Ally Kessy na Lusinde ni makapi au la??!
tehe!
 
chadema na ccm wakiiga ya cuf hawatabaki kuitwa chadema wala ccm bali cuf...
Hawawezi kufanana kila mbinu la sivyo muigaji atakuwa hafikirii!
Acha kila mtu afanye aonevyo ni vyema umma utaamua
mawazo mgando + woga
 
mawazo mgando + woga

Hata kuwa na fikra ya kupendelea kuigaiga ni mawazo mgando kwa sababu yako kinyume na ubunifu ambao mtu yeyote mwenye fikra chochezi lazima awe nayo...
Si kila wakati kwamba woga ni ishara ya kutothubutu hasa ukishapima kwamba matokeo yake ni kukurudisha nyuma ya mwaka 1977
 
Hakuna kingine cha kuiga?

1. Vipi kuhusu kauli ya mwenyekiti wenu ya "Tujipange vinginevyo tutaendelea kuwa raia wa daraja la nne"?

2. Labda CCM na CDM nao wawe kwenye umoja wa Waliberali, wanaodai haki za binadamu kwa 100%

Vinginevyo CUF jiandaeni kupotea kabisa kwenye ramani ya TZ, labda mumwambie Proffeseri kuwa amwachie mwingine awe mgombea urais, yeye imetosha.
 
Hiki ndo kila chama cha Muhadhara misikitini? LIPUMBA chairman wao ameingia ktk guiness world record kwa ku_contest mara nyingi Urais (mara 4 tayari)
 
Hiki chama cha kiliberali tujifunze nini kutoka kwao? Labda ccm wajifunze,mnatia kinyaaa
 
CCM wamesshindwa kuwavua gamba baadhi ya viongozi waliotuhumiwa katika ufisadi mfano ni CHENGE NA LOWASA walimwambia mwenyekiti ukimwaga ugali tunamwaga mboga na sula LA KUJIVUA GAMBA LIKAFA.

HIVYO TUIGE MFANO TOKA CUF HAKUNA UMAARUFU AU KUJULIKANA YOYOTE ANAWEZA FUKUZWA AKIENDA KINYUME NA SERA ZA CHAMA.

Tungependa kuiga kwanza toka Chama Tawala chema sikivu na kinachotetea wananchi na kisichopenda vurugu bali kuwatumikia wananchi.
Waliovuliwa magamba ni mmoja tu katika safu yenye zaidi ya wanachama 6,000
 
Back
Top Bottom