Padri anasema CCM majambazi tujipushe nao


Status
Not open for further replies.
Bin Faza

Bin Faza

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Messages
502
Likes
40
Points
0
Bin Faza

Bin Faza

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2013
502 40 0
haya mambo yanazidi kupamba moto tanganyika

sasa na wao wamaigunduwa ccm kuwa ni kikundi kinachofaa kuepukwa

sitaki nisema zaidi msikilizeni padri akimwaga sera na mitikasi yake nyeti

bonyeza hapa

KATAA CCM TANZANIA IPONE - YouTube
 
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,241
Likes
10
Points
0
Age
39
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,241 10 0
Dahh!naiona zanzibr ileee...
 
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Likes
51
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 51 0
Mie bado nafata maono wa Maaskof kuwa Jakaya ni chaguo la Mwenyezimungu na chaguo la mungu anasema Tuchague CCM! Usipuuze Maono ya Baba Askof Methodius Kilain ukafata wa Padri!
 
M

mugayasida

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2012
Messages
482
Likes
3
Points
0
M

mugayasida

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2012
482 3 0
haya mambo yanazidi kupamba moto tanganyika

sasa na wao wamaigunduwa ccm kuwa ni kikundi kinachofaa kuepukwa

sitaki nisema zaidi msikilizeni padri akimwaga sera na mitikasi yake nyeti

bonyeza hapa

KATAA CCM TANZANIA IPONE - YouTube
Kwahiyo huyu malebo ni Padri?Au hujui unalotaka kusema ila umesukumwa na wanaotaka useme?Ujumbe wake ni mzuri sana maana hajasema muondoe muislamu na uweke mkristo kama asemavyo Lipumba,Ponda,mukadamu,Ilunga na Radio Imani ana sifa ya kugombea uraisi kuliko Lipumbu
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
Huyo siyo padri ni mchungaji munisi..kuna tofauti kati ya mchungaji na padri.. Usiandike usilolijua!
 
Mwanaukweli

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Messages
4,567
Likes
458
Points
180
Mwanaukweli

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined May 18, 2007
4,567 458 180
Munishi sio Padri ni mchungaji au kwa Kiingereza Pastor.

Mapadri ni wa Kanisa Katoliki na Anglican (High Church). Wakristo wengine nje ya hao wana wachungaji si mapadri.

 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
17,211
Likes
4,366
Points
280
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
17,211 4,366 280
huyo ni munisi mchungji wa kilokole na c padri
 
Malinyingi

Malinyingi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
857
Likes
15
Points
35
Malinyingi

Malinyingi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
857 15 35
Hakuna padri anaeongea togwa kama hivi..huyu ni msanii wa nyimbo za Injili kwa staili anayo ijua yeye, Kama amejipa uchungaji tusubiri ajiite nabii!
 
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
20,051
Likes
2,601
Points
280
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
20,051 2,601 280
Huyu Munisi why anaishi kenya?maana hizi kauli zake anazitoa akiwa kenya pia utaona video zake youtube anafanya matangazo ya Safaricom
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,274,695
Members 490,785
Posts 30,521,472