Chadema acheni kulalamika

Chadema acheni kulalamika

ngogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
359
Reaction score
54
Kumekuwa na manung'uniko na malalamiko ya kila mara yanayotoka kwa viongozi na wafuasi wa Chadema hasa katika kampeni zinazoendelea za chaguzi ndogo za udiwani zinazoendelea maeneo mbalimbali nchini, Chadema wanalalamika kuvamiwa na kushambuliwa na wafuasi wa ccm, kwanini vijana wa Chadema tusijibu mapigo hayo? kwani ccm wana nini? tusidhani vyombo vya usalama nchini vitashughulikia mallalamiko yetu ni lazima sasa kujilinda jino kwa jino, ccm wakijeruhi mmoja nasi tuwasake na kujeruhi wawili.
 
unajua huo no uongo kabisa kwani mimi niko arusha kusema ukweli hamna kijana wa ccm hata anaweza kupita mita 300, karibu na mkutano ya cdm, wao wenyewe ccm wanajua kuwa ni hatari, mtaani kwenyewe kupita na nguo ya ccm unazomewa, nashanga hao watu wanaosema ccm inaavyamia mikutano ya cdm, mimi nahuzuria sana mikutano ya cdm lkn sijaona kitu km hicho, kwanza hamna hata gari yenye bendera ya ccm inazubutu kupita karibu na mikutano ya cdm, huo ndio ukweli,
 
Kwenye kura kesho kutakuwa na bendera, na magari na uniform za vyama? kwenye masanduku ya kura yana alama za vyama?

Toa hoja, Usipige kelele.
 
Back
Top Bottom