Mabomu ya machozi yanapigwa muda huu,matokeo yamechelewesha kutangazwa.Watu walinataka kuvamia ofis ya mamlaka ya mjiwa Sengerema,tutaendelea kuwajulisha
Ikiwa ni siku moja imepita tangu tukio la kusikitisha litokee JIJINI ARUSHA, na lazimika kushangaa ni nini hasa tunachowaza kuendelea kuwa na viongozi wavivu wa kufikiri kama NAPE NNAUYE sijambo...
Akichangia Bajeti ya serikali leo, mbunge wa Tunduru, Abdallah Mtutura amelalamika sana juu ya bajeti ya serikali kuisahau Tunduru. Ilipofika wakati wa kutimisha akawa anasita kusema anaunga mkono...
Tulio wengi tunajua kuwa kulikuwa na uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 26 ambapo kata 4 za Arusha mjini uchaguzi huo ulihairishwa kufanyika kutokana na mlipuko wa bomu lililo pelekea watu...
Kwenu wana great thinkers,
Kwanza, kabla ya yote nipende kutoa pole kwa chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa kupoteza wanachama wao na wengine wengi kujeruhiwa katika Bomu lilitokea Soweto...
Ripoti iliyosomwa na Lukuvi hivi punde amehitimsha kwa kutoa hiyo Bingo ya sh milioni 100 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa wahusika wa milipuko Arusha.
serikali makini ya CCM baada ya kuunda...
Wazanzibar wamehoji na kumshangaa warioba wadai ameyatoa wapi maoni ya serikali tatu mpaka awe na ujasiri wa kuyaweka kwenye rasimu ya katiba?
source: gazeti RAIA mwema.
DUUUH wazanzibar sasa...
Tanzania inaelekea kuwa kama DRC Congo sasa. Nchi isyo na mwenyewe na hii huenda ni kwa sababu ya rasilimali zilizogundulika nchini humu kama mafuta na gesi.
Milipuko yenye sura mbalimbali...
Source Mwananchi
Mbio za urais kwa vijana na hasa ndani ya vyama unamwelekea vizuri Zito Kabwe hasa katika kipindi hiki cha mabadiliko ya katiba kupunguza umri wa kugombea na kuruhusu vijana kuwa...
Taarifa. CCM yatetea kiti cha udiwani ktk uchaguzi mdogo wa kata ya Mianzini Mbagala.
CCM 1200
CUF 494
CHADEMA 315
NCCR 1
Source:Mgombea wa CDM ndg. Cuthbert Ngwatta Saulo
Makamanda Habari za jioni
Leo katika kata ya Erelai kulikuwa na mikutano miwili moja wa ccm na mwingine wa Chadema ambao ulikuwa na nyomi ya kutosha na ule wa ccm kama kawa kikundi cha watu...
Habari wana JF,
Wengi natumaini mnakumbuka kauli ya Kardinali Polycarp Pengo punde tuu baada ya Mlipuko kanisani Olasiti. Pengo alisema anataarifa zisizo na shaka kutoka vyanzo anavyoviamini kuwa...
Kutokana na maafa yaliyotokea Arusha , leo kambi ya upinzani haikusoma hotuba yake bungeni , nawaletea vipande vyotuba husika.
kuhusu deni la taifa ,kila mtanzania anadaiwa kiasi cha shilingi...
Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania...
Wana jf
kutokana na matikio yaliyojitokeza kwenye kampeni za chaguzi za udiwani sehemu mbalimbali nchini,hawa wazee hawajasikika kukemea wala kuchukua hatua kwa chama chochote cha siasa wala...
Serikali imesema kwa atakayetoa taarifa na kufanikisha kukamatwa aliyetupa bomu ktk mkutano wa kampeni ya udiwani (CDM) akatabidhiwa kitita cha sh. mill 100.