CCM inahusika
• Tamko la Mchungaji Mtikilla laibua utata mpya
na Mwandishi wetu
Soma palipo na red
MAZINGIRA ya kabla na baada ya tukio la mlipuko wa bomu lililotokea mkoani...
Kutoka na Jinsi tanzania sasa kuna hali ya juu ya ukandamizaji wa demokrasia, ni vyema viongozi wa vyama vya upinzania wakakutana na oboma pia kuzungumzia hili swala. wananchi wanalazimishwa kuwa...
Demokrasia ya kweli tanzania itawezekana pale ccm itakapopata ufahamu kuwa haina hati miliki ya tanganyika kwa sababu imejisahau na kufikiri kuwa kila mawazo mapya ambayo hayatokani na ccm hayafai...
Wananchi wanapoelimishwa na kutambua kuwa wanadhulumiwa na kukandamizwa ndani ya nchi yao wanahitaji kiongozi ambaye atasimama bega kwa bega na wananchi hao ili kuwaongoza njia.Bila kiongozi...
Wapendwa JF,
Miongoni mwa mada ambayo hujadiliwa sana na pengine kuwa updated every time ni ile ya safari za rais, binafsi pamoja na kuunga mkono hilo, nimeonelea kuwa kuna haja ya kuanzisha...
MATUKIO ya umwagaji damu ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mikutano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yamesababisha mwenendo wa siasa katika siku za hivi karibuni kuchukua mwelekeo wa...
Chanzo Wilfred Lwakatare FB
Wasalaam waheshimiwa Wananchi,ndugu,jamaa na marafiki.Leo asubuhi,kesi yangu imeitwa katika mahakama ya mkazi Kisutu na kusikilizwa na Hakimu Mfawidhi Aloyce...
Kumbukeni NCCR Mageuzi ilikuwa juu mwaka 1995 hadi 2000.. huku chama cha CUF kikiwa imara bila kutetereka, si muda mrefu CUF iTAFANYA MAPINDUZI makubwa katika siasa za Tz.
Hii ni kulingana na...
jamani pamoja na kuchomewa pikipiki ya chadema na kumjerui mgombea wa chadema katika kata ya minepa lakini bado mungu hajatutenga, tumeweza kupata ushindi wa kishindo katika kata Ifakara ambapo...
Hivi inakuwaje katika ulimwengu wa leo bado tu hawa viongozi wa CHADEMA wanaleta porojo wakati dunia inaenda kwa takwimu!!?
Kumsikia kiongozi wa CHADEMA anasema raslimali nyingi zimetumika ila...
Chadema kama chama makini,chenye wasomi wa kila aina,viongozi makini( mh.Mbowe,Dr.Slaa,Tundu Lissu,Prof.Safari na wengine wengi). Pia ni chama chenye wanasheria makini kama Tundu Lissu,Prof...
ON Friday 21st June 2013, Zitto visited the Government of Lower Saxony in Hannover for a discussion about deepening the partnership between Tanzania and Lower Saxony. The discussion was led by the...
THE United Kingdom's Secretary of State for International Development has arrived in Tanzania to see the impact of the United Kingdom's development efforts.
She visited Dar es Salaam's Capital...
FRIDAY, JUNE 21, 2013
Marehemu Sargent Detective Christopher Kyendesya enzi za uhai wake
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Wa katikati akiwa na Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kushoto pamoja...
Sumaye: Epukeni wanaotoa fedha kwa kutumia mgongo wa dini
Arusha. Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka viongozi wa dini na Watanzania kwa jumla kuwa makini na watu wanaojipitisha na...
Ndugu wana jf. Kesho tunategemea Budget ya Serikali kuhitimishwa sasa kuna habari za Budget hii isiyonatija kukwama maana hata Mchumi Mwigulu Nchemba alikubali kuwa ni mbovu na jana kupitia fikra...
Tanzania imeshuhudia kwa miaka nenda rudi utalii ukishuka pamoja na kuwa na vivutio vingi vinavyojulikana duniani.Tofauti na wanasiasa wanavyojaribu aminisha watu kuwa maandamano na sasa mabomu...
Jana kulikuwa na sherehe za kumuaga Samweli Sitta ,Spika za zamani wa Bunge zilivurigika baada ya Spika wa Bunge na Pinda kuamuru zipigwe nyimbo za Komba na mmojawapo uliopigwa ni ule wa...
Ni baada ya mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama hicho kuhutubia mkutano wake wa kwanza tangu kuachiliwa kwa dhamana, ambapo amehutubia wana Bk kupitia uwanja wa uhuru Mayunga mjini Bukoba...
Nimejaribu kujiuliza tu hivi M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama na Mambo ya Nje Bw. Lowassa angeamua kwa utashi wake tu kwa niaba ya Watanzania anaowawakilisha Bungeni kuipinga vikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.