Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nami naelekea kutumia kifungu cha sheria Number 102 cha kutia shaka Viongozi wa CHADEMA kwa kauli zao. Nanukuu kauli ya Mnyika; Walimkamata wanachama wa CHADEMA kutoka Bukoba- Mwanza hadi Dar es...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
kwa utaratibu uliopo ni rahisi sana kuwa na rais ambaye hajachaguliwa na watanzania. kwa mfano alipofariki Dr Juma na Mkapa akamteua Dr Shein, ingetokea bahati mbaya rais mtaafu mkapa akafariki...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Leo jijini Dar wanakutana wanahabari na wadau wa habari zaidi ya 150. Watajadili maadili na wajibu wa wanahabari kwenye hali ya migogoro. Watachambua pia hatari ya lugha za...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
katika Hali isiyokuwa ya kawaida serikali ya wanamagamba imeshindwa kabisa kutoa tamko juu ya kile kilichotokea Kule Arusha kulipuka kwa bomu June 15,kwenye mkutano wa Chadema. Zaidi ya hapo ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katibu wa kanda ya kichama Mkoa Wa Kinondoni CHADEMA kamanda HENRY KILEO kesho atafikishwa mahakamani mjini IGUNGA. Henry Kileo ni mmoja tu kati ya kundi kubwa la vijana wa CHADEMA waliotumika na...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Baada ya mwenyekiti wa chama cha Demomokrasia na maendelea CHADEMA kukataa kuwakabidhi polisi ushahidi walio nao kuhusu polisi kuhusika na utupaji wa bomu kwenye mkutano wa kufunga kampeni za...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
  • Closed
:disapointed: Hivi majuzi Mh Sugu alimwita Pinda mpumbavu na baadhi ya wachangiaji wa jamii forum wakaunga mkono pamoja na kuongezea matusi mengine juu. Jamii forum ni chommbo kilichojizolea sifa...
3 Reactions
120 Replies
9K Views
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini wameitaka Serikali kutumia njia ya mazungumzo kumaliza migogoro, badala ya kutumia jazba na nguvu. Vilevile, wamesema kuwa hawako tayari kukaa kimya huku wakiona...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamvi wote, Tulijua kigugumizi cha serikali juu ya kurudisha mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa elimu ya sekondari. Sasa yamerudishwa lakini cha kushangaza wamechagua baadhi shule ambazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1.baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kutangaza nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 sera zangu. miundo mbinu: ninapanga kufanya usafiri wa treni kuwa njia kuu ya usafirishaji tanzania. kwa hapa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimeitafakari sana kauli ya Pinda. Nimeangalia jinsi Jeshi la Polisi linavyogeuka kuwa kitengo cha CCM, nikashawishika kuamini kuwa Jeshi la Polisi linafanya kazi ya kuwaamsha waliolala ili...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Leadership Failure Awards of 50years since independence. Wapendwa napendekeza mjadala wa kupendekeza mawaziri wakuu walioshindwa kutekeleza majukumu yao kwa nusu karne tangu tupate uhuru kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Kumekuwa na tetesi kibao na wakati mwingine baadhi ya watu wameweka hapa JF waraka unaoonesha mabadiliko ya madaraja ya mishahara kwa waalimu hapa nchini. Katika uchunguzi nilioufanya nimegundua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu naona kikao kimepita bila tamko, jambo ambalo sio kawaida kabisa kwa makamanda watakatifu wa chadema Au ndio kusema wamekaukiwa matamko??? Makamanda wametulia kimya wanawasubiri mtoe Tamko...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
US President Barack Obama should cancel his planned visit to Tanzania later this month in protest against the government’s failure to settle a “slavery” case, a Washington Post commentator urged...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Mkutano wa G8 Uliofanyika Northen Ireland Wachambuzi wasema Viongozi wa Africa wachangia Umaskini wa nchi za Africa kwa ufisadi wa kujilimbikizia pesa za kigeni nje ya nchi huku wananchi wao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwakweli nimeamini chadema hakuna wenye hoja,hebu fikiria inakuwaje chama kizima kinahangaishwa na kunyimwa usingizi na mtu mmoja tu ambaye ni mbunge machachali Kutoka huko mkoani Singida.Jamaa ni...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Akiongea na wakazi wa eneo la mbezi jimbo la ubungo, katika kijiwe cha kahawa na wa bodaboda kituo cha luguruni-kwembe. Aliwahoji kama apige kura ya ndio au hapana kwy bajeti ya nchi.
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Ndugu wanaJF, Napenda kutoa shukurani zangu kwa jeshi letu la polisi kwa kudhibiti kwa kiasi kikubwa uchochezi wa kidini kwa baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam kwani ulikuwa umeshaota mizizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanachi wa Huku Ludewa mkoa mpya wa Njombe wameshtusha na kitendo cha Mwananchi mwenzao ambaye aliwahi kugombea ubunge jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chadema mwaka 1995 akakosa ya kuwa yupo kwenye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom