Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana-JF! Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Nikiwa kama raia mwema nashangazwa sana na mwenendo wa waziri mkuu aliyetimuliwa Edward Lowasa kwa kupita makanisani si kufanya ibada bali kutoa pesa, sote tunajua kuwa huyu ni mtu anayeutaka...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema...
26 Reactions
187 Replies
15K Views
Unapoitazama Tanzania katika kipindi hiki, haikupi taabu kubaini uwepo wa mabadiliko ya kijamii katika ngazi na kada tofauti. Zile sifa zilizoimbwa kuanzia kwa mkulima kijijini hadi ngazi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye macho haambiwi ona, lakini akiona ajabu anaweza kuduwaa kimya mithili hajaona kitu. Kufutwa na DPP kesi iliyokua inamkabili Idi Simba Na wenzake kwa makosa ya uhujumu uchumi ni jambo...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu JF, Tunaendela kuona Shuhuda Mbali mbali za Watu dhidi ya Ukatili wa CCM na Serikali yake Malisa anayeishi Kata ya Ngarenaro jijini humo alifika uwanjani hapo kumwokoa baba yake Godwin...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Ivi ushawahi fikiria hatari ya kuwepo na hali kama hii apa nchini? Mwana JF.... WEKA COMMENT VITU VINAVYOWEZA KULETA HALI KAMA HIYO
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf; Nimeona habari hii kwenye gazeti la Mwananchi. Mbivu, mbichi za Bajeti leo - Kitaifa - mwananchi.co.tz La ajabu kuna mbunge mmoja wa CCM anadai eti mbunge anayepinga kuongezwa kodi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya ameyasema waziri wa fedha wakati anapojumuisha majadiliano ya bajeti, hii ni aibu kabisa kwa nchi yetu
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Kuna uwezekano mkubwa kwamba hasira zote hizi za polisi dhidi ya wananchi wa Arusha hasa zile za kurusha mabomu siku ile ya maombolezo zinatokana na CDM kunyang’nywa CCM viti vya udiwani na...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
SATURDAY, JUNE 22, 2013 Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt Fenella Mukangara akivalishwa skafu na Mwanahamisi Haji(13) chipukizi wa Wilaya ya Kinondoni wakati alipo...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Closed
Mh sugu anaaibisha wabunge kwa tabia zake zisizo na staha hivi kumwambia waziri mkuu wa nchi mpumbavu na hata asingekuwa waziri mkuu mtu aliesawa na umri wa baba yako hata kama amekosea sio haki...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Kila uchao, CHADEMA wanalalama. Wanatupa shutuma kwachama tawala-CCM na vyombo vya dola. Shutuma za hujuma dhidi ya viongozi wa CHADEMA na harakati za kisiasa za kichama. CHADEMA inadai kuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri Wassira katika majadiliano ya kuhitimisha bajeti ya serikali, amesema kuwa Kauli ya waziri mkuu Mizengo Pinda kuwa anayekaidi na kukiuka amri halali ya dola na hivyo kushughulikiwa na...
0 Reactions
76 Replies
5K Views
MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM), amesema kuwa bila Watanzania kuwa makini na sheria mpya ya ndoa ijayo, huenda nchi ikapata rais, wabunge na madiwani wanaojihusisha na mapenzi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Wilaya ya Kilosa apigwa hadi kulazwa kwa kile kinachodaiwa ni wafuasi wa CHADEMA. Kisa chenyewe kilikuwa hivi; Vijana wa Chadema walikuwa kwenye gari eneo la kituo cha mafuta...
2 Reactions
79 Replies
7K Views
Naibu Katibu mkuu(CCM)bara na Mbunge wa Iramba magharibi,Mh.Mwigulu Lameck Nchemba,ambae alikua mmoja Kati ya viongozi wa CCM wa kitaifa,walioshiriki katika kampeni zilizohusisha kata 4 ndani ya...
0 Reactions
192 Replies
14K Views
Watanzania tunataka kupotoshwa sana, kiu yetu si jina la chama cha siasa, hili linaushahidi wa kutosha, wananchi iwe tz au kwingineko duniani hawahitaji chama cha siasa isipokuwa wale tu ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana GT... Kabla sijaandika mengi naomba kuweka kumbukumbu sahihi kwamba Edward Lowasa ALIJIUZURU uwaziri Mkuu kwa kashfa ya ufisadi, wala hakustaafu. Lakin leo naona kundi kubwa la...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana-JF! Mhe Wassira ambae ni waziri wa nchi ofisi ya rais (mahusiano na uratibu), akiwa ana hutubia bungeni, ameeleza kuwa ijapokuwa shule za kata zimepata dhihaka kubwa kutoka kwa jamii, lakini...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom